Mke wangu wa zamani alikuwa pasua kichwa, nilimuacha nikaoa mwingine sasa nina furaha

Tokea 2021 sio hivyo tu namjua kwa miaka 13 sasa namjua ndani nje hata kabla sijamuoa huyo wa kwanza huyu nilikua namjua vizur sana
Nakuombea amani kwenye ndoa yako, ila tunza haya maneno. Umemjua kwa miaka 2 tu na si 13. Mtu usiyelala wala kuishi naye fahamu kuwa hamjuani kabisa. Kuta 4 za nyumba huficha mengi. Tumia akili zaidi kuliko moyo, kuponywa moyo mara baada tu ya kutoka kuumizwa kunaweza kukufanya uone umepona kabisa na aliyekuwa hakujui kumuona ni nabii ila ya Mungu mengi. Tunakuombea amani na ustawi katika ndoa yako.
 
Aisee story tamu balaa [emoji7]
 
Huenda huyo mke mpya alikuwa anakutamani ktambo akawa anamroga mkeo? Maana shida nyingine za ndoa hutokana na mashambulizi ya wachawi na mapepo.
 
Tunza maneno ya akiba ndugu yangu usiseme hivo, mwanamke ni kiumbe mwingine. Hutakaa uamini siku hiyo.
 
Mimi nasisitiza kitu kimoja tu, m**mbe mkeo vizuri, usimhurumie coz sio dadako wala binamu yako, ukitimiza majukumu yako mengine, usisahau hili la kum**mba vizuri...
 
Hongera kwa kupata mwenye adhali ,lakin pia nikuhase ndugu yang ili baadae Udine ukafa kabla ya cku zako........

Usiwe comfortable sana na hyo uliyenae kwasasa mana kila mwanamke ana vimbwanga vyake hvyo usisherehekee sana... na hyo nadhan kwa kuwa ulikosa hzo raha unazopata kwa sasa.........kaa nae kwa akil sanaa baada hujui siku wala saa atakayokugeukia kwa sabab yyte ile......pia ningelikuwa ni ww bas nisingeoa tena bal ningevuta tu tuishi.......
 
#Kataa ndoa mkuu......sikushaur use tenaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…