DOKEZO Mkeka mdogo wa DC Longido kutoka leo usiku, Machawa kufukuzia nafasi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi uku LUCAS MWASHAMBA chawa mkuu kukosa uteuzi huo taja jina la mrithi wa DC (W) Longido
DC kasema Siri ya wazi hadharani.
Bila shaka haimalizi September.
 
Ngoja tuone kama sababu ya kutumbuliwa Nape ilikuwa ni kule kuropoka au ipo nyingine.
 
MiCCM ndivyo ilivyo, kutwa kuwaza namna ya KUiBA Uchaguzi na si kutatua MATATIZO wa Watanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…