DOKEZO Mkeka mdogo wa DC Longido kutoka leo usiku, Machawa kufukuzia nafasi

DOKEZO Mkeka mdogo wa DC Longido kutoka leo usiku, Machawa kufukuzia nafasi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Lucas Mwashambwa anakosea wap au ndo uchawa umezidi.

Maana anapambana sana huku jf lakn wapi 😂😂
Bila shaka uwezo wake wa juu kabisa wametambua kuwa ni kuwa chawa. Siyo kila kila mshangiliaji wa mpira anaweza kuwa mchezaji wa mpira.

CCM wanajua maeneo yote wanayokosea ambayo wanajua wazi hakuna mwenye akili timamu anaweza kusifia, lakini kwa mshangao mkubwa wanamwona Mwashambwa anasifia!! Hapo wanakuwa wamepata jibu Mwashambwa ni mtu wa namna gani. Aliyemdanganya kuwa ukisia kila kitu utateuliwa alimtumbukiza gizani.
 
Back
Top Bottom