DOKEZO Mkeka mdogo wa DC Longido kutoka leo usiku, Machawa kufukuzia nafasi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

View: https://youtu.be/FPioNl1jovo?si=xPs3O20Jw0q--Zfz

Bora kaongea ukweli wake kuwa kura zinaibwa. Hata akitumbuliwa atakosa vya duniani tu ila vya Mbinguni/peponi atapata.

Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.
20240901_190016.jpg
 
View: https://youtu.be/FPioNl1jovo?si=xPs3O20Jw0q--Zfz

Bora kaongea ukweli wake kuwa kura zinaibwa. Hata akitumbuliwa atakosa vya duniani tu ila vya Mbinguni/peponi atapata.

Uchunguzi huru unahitajika ili kujua huko porini alifanya nini? aliiba au aliwapoteza watu... anakiri kwamba alihusika kwenye majimbo fulani fulani... atuambie alifanya nini huko? Serikali makini kama ya Raisi Samia haiwezi kuacha kauli kama hii ifunikwe ndani ya Carpet ingawaje na yeye pia aliwahi kutoa kauli kama hiyo kwamba "... hata ukipiga kura kule kwingineko..."
Hayo ni matokeo ya kauli yake...
akaja Nape huko Bukoba na sasa huyu DC.

Kwa kweli wajitathmini kwa kweli kama bado wanatosha kuendelea na nafasi zao. hawawezi kumtumbua Nape pekee na huyu wa sasa ili hali bosi wa mabosi yumo anadunda... mtu anakili kabisa kuwa ni kibaka wa kuharibu au kuiba uchaguzi na kufanya mambo ya ajabu huko maporini na kuihusisha serikali halafu wananchi wanamuangalia tu.. sijui wanasubiria nini kumpiga kiberiti kama wanavyowafanyiaga vibaka wengine huko mtaani....
 
Kwani kuna geni gani lisilofahamika ??!
🤣😆🤣
 
Najua muda huu yuko anaandaa mazingira na mke wake kama alivgoandaa mazingira 2020 kwenye uchaguzi
 
Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.View attachment 3084433
Sasa ametumbuliwa kwa sababu ametoa Siri. ??!

Au ametumbuliwa kwa sababu hakutenda Haki ??!
😳😱
 
Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.View attachment 3084433
Kama namuona Mwabukusi anavyoifuatilia hii issue .. mwamba lazima aibuke nayo tu.
 
Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi huku Lucas Mwashambwa na Josephaty chawa mkuu kukosa uteuzi huo.

Taja jina la mrithi wa DC (W) Longido.

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Pamoja na ukweli kwamba ccm ni majinga kamati hio inawaona hao uliowataja kuwa ni wajinga zaidi hivyo watabaki jf kuandika ujinga wa kububujikwa machoz mpaka wazeeke.
 
Back
Top Bottom