Bila shaka uwezo wake wa juu kabisa wametambua kuwa ni kuwa chawa. Siyo kila kila mshangiliaji wa mpira anaweza kuwa mchezaji wa mpira.
CCM wanajua maeneo yote wanayokosea ambayo wanajua wazi hakuna mwenye akili timamu anaweza kusifia, lakini kwa mshangao mkubwa wanamwona Mwashambwa anasifia!! Hapo wanakuwa wamepata jibu Mwashambwa ni mtu wa namna gani. Aliyemdanganya kuwa ukisia kila kitu utateuliwa alimtumbukiza gizani.