Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

Vijana acheni kuwaza hela za kudownload wekezeni ndio sustainable life. Achaneni na hizo kamari kabisa wala hazitokupa uzoefu wowote. Mtoto wako hawezi kurithi kamari.
Vipi kwa yule mkamaria mwenye issues zake? Usidhani gambling inafanywa na jobless au wasio na kipato mkuu. Its a hobby like any other. Mtu ana mshahara wa 2.5m na ni mbetiji mzuri tu, ana stake 2 odds, anaweka 500k anakula 1m..of coz kukosa kupo coz maisha yenyewe ni kamari tu.

Betting a worldwide game mzee.
 
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu
Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele
 
Back
Top Bottom