Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

Dogo unadhani hela inatokaga kirahis kihivyo? Ndo maana majambazi wanatumia chuma vitu vinavyotema vitu vyenye ncha Kali na butu ukipress tu vitu vinaruka hewani kwa kas ya ajabu.

Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa
Basi mkuu kuna pipo zina tengeneza pesa balaa huku wanakula Wine tuu
 
Vijana acheni kuwaza hela za kudownload wekezeni ndio sustainable life. Achaneni na hizo kamari kabisa wala hazitokupa uzoefu wowote. Mtoto wako hawezi kurithi kamari.
Kweni wanaofanya kamari hawajui kua watoto hawawwezi kurithi kamari? Wanajua ila kamari ikiwalipa wanatengeneza urithi wa watoto ambao siyo kamari
 
Dah...
Asee mi napigika mpaka leo sijashila Milion 50.

Jamaa kalamba 164milion.
Nachoka ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna yule dogo alilamba B na point dah watu wana zali. Yote naonaga ni Mungu tu akiamua kukupa anakupa. Akiamua kukunyima anakunyima
 
Badala ya kuhangaika na kuwekeza kwa ajili ya wanao nao wasije kuwa wacheza kamari, unawekeza kwenye kamari na kujiongopea maisha ni kamari huku ukisahau muda ni obsolete na sio kamari.
Absurdity.
 
Mi kanji nakinyoosha na mikeka mpaka nikatubu na kuapa sibet tena.
Ila ukiona jamaa wanavyo kula ela kiroho cha kubeti kinakujia tena.
Kuna yule dogo alilamba B na point dah watu wana zali. Yote naonaga ni Mungu tu akiamua kukupa anakupa. Akiamua kukunyima anakunyima
 
Back
Top Bottom