Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nisijiamini kwasababu gani??? Game ya nne 1*2 kaipa 2 result ft 3:0 hebu nieleweshe hii huenda sielewi... Mi nadhani ilitakiwa iwe 0:3 na sio 3:0Umeandika kwa kujiamini sana.. hamna kilichokosewa apo, game ziko juu results zipo chini, Pitia tena
Nimekufahamisha jinsi ya kutizama huo mkeka, kwenye comment yangu ya juu lakini bado unakaza kichwa, haya endelea..Nisijiamini kwasababu gani??? Game ya nne 1*2 kaipa 2 result ft 3:0 hebu nieleweshe hii huenda sielewi... Mi nadhani ilitakiwa iwe 0:3 na sio 3:0
Si kweli mkuu, kuna kampuni nyingi tu unaweza shinda zaidi ya millioni 200.Ni kampuni gani hiyo inaruhusu mkeka mmoja Hadi mil 140? Kampuni nyingi Kama sio zote mwisho huwa around mil 30 kwa mkeka mmoja
Mdau Abuu Abdurahman amekuelewesha vizuri kabisa, kwenye huo mkeka inaanza timu halafu chini yake ndio matokeo aliyobashiri na matokeo yake.Nisijiamini kwasababu gani??? Game ya nne 1*2 kaipa 2 result ft 3:0 hebu nieleweshe hii huenda sielewi... Mi nadhani ilitakiwa iwe 0:3 na sio 3:0
Milioni 50 mwenyewe unaona nyiiiingiiiii wakati ni dollars usd elfu21 tuDah...
Asee mi napigika mpaka leo sijashila Milion 50.
Jamaa kalamba 164milion.
Nachoka ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Babuu Cash on my hand sijawahi broo dahMilioni 50 mwenyewe unaona nyiiiingiiiii wakati ni dollars usd elfu21 tu
Una mpesa nikusogezee hapo dollar 500?Babuu Cash on my hand sijawahi broo dah
Ninayoo babuu chapUna mpesa nikusogezee hapo dollar 500?
Dogo unadhani hela inatokaga kirahis kihivyo? Ndo maana majambazi wanatumia chuma vitu vinavyotema vitu vyenye ncha Kali na butu ukipress tu vitu vinaruka hewani kwa kas ya ajabu.Ninayoo babuu chap
Gal Sport BettingNi kampuni gani hiyo inaruhusu mkeka mmoja Hadi mil 140? Kampuni nyingi Kama sio zote mwisho huwa around mil 30 kwa mkeka mmoja
Vipi kwa yule mkamaria mwenye issues zake? Usidhani gambling inafanywa na jobless au wasio na kipato mkuu. Its a hobby like any other. Mtu ana mshahara wa 2.5m na ni mbetiji mzuri tu, ana stake 2 odds, anaweka 500k anakula 1m..of coz kukosa kupo coz maisha yenyewe ni kamari tu.Vijana acheni kuwaza hela za kudownload wekezeni ndio sustainable life. Achaneni na hizo kamari kabisa wala hazitokupa uzoefu wowote. Mtoto wako hawezi kurithi kamari.
Bi dada na wewe umo kwenye betting? Mimi hata sijuagi hii kitu inafanywaje.Mbona kuna mechi hapo kachagua win 2 halafu inatoka 4-0 kama mechi ya 4 na 7 hii imekaaje ndugu mkamaria
Ntakufundisha😃Bi dada na wewe umo kwenye betting? Mimi hata sijuagi hii kitu inafanywaje.
Sawa, nakuja inbox.😂Ntakufundisha😃
Unafatilia mpira?Sawa, nakuja inbox.😂
Shemeji nawe kwenye haya mambo upo... HahahahaMbona kuna mechi hapo kachagua win 2 halafu inatoka 4-0 kama mechi ya 4 na 7 hii imekaaje ndugu mkamaria
Ndio, nafatilia. Inbox kwenyewe upo kimya.😂Unafatilia mpira?