General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Basi mkuu kuna pipo zina tengeneza pesa balaa huku wanakula Wine tuuDogo unadhani hela inatokaga kirahis kihivyo? Ndo maana majambazi wanatumia chuma vitu vinavyotema vitu vyenye ncha Kali na butu ukipress tu vitu vinaruka hewani kwa kas ya ajabu.
Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa
Mkuu huyu sister nimemvulia kofia....huyu anarekodi zake hapa jfHaya njoo pm sasa tupange matumizi
Betting ngumu sana yaani unakosea hata kuangalia matokeo tuata game ya 14 kaweka win 2 wakat aliyeshinda ni wa nyumban labda ali Cash out.
Siyo kweli zaidi ya 200premier betting mwisho 112milion
Nipo shemeji, siku nyingine hela ya mboga inaliwa nashindia mluziShemeji nawe kwenye haya mambo upo... Hahahaha
Ushakodolea macho kifua chake kwenye avatarHaya njoo pm sasa tupange matumizi
Kweni wanaofanya kamari hawajui kua watoto hawawwezi kurithi kamari? Wanajua ila kamari ikiwalipa wanatengeneza urithi wa watoto ambao siyo kamariVijana acheni kuwaza hela za kudownload wekezeni ndio sustainable life. Achaneni na hizo kamari kabisa wala hazitokupa uzoefu wowote. Mtoto wako hawezi kurithi kamari.
BetPawa ni M80Ni kampuni gani hiyo inaruhusu mkeka mmoja Hadi mil 140? Kampuni nyingi Kama sio zote mwisho huwa around mil 30 kwa mkeka mmoja
Kuna yule dogo alilamba B na point dah watu wana zali. Yote naonaga ni Mungu tu akiamua kukupa anakupa. Akiamua kukunyima anakunyimaDah...
Asee mi napigika mpaka leo sijashila Milion 50.
Jamaa kalamba 164milion.
Nachoka ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiongeze mkuu.....Bi dada na wewe umo kwenye betting? Mimi hata sijuagi hii kitu inafanywaje.
Bahati nasibu au betting inapofanywa kwa kiwango cha kiasi, kama kujifurahisha, bila tamaa, haina tatizo.Vijana acheni kuwaza hela za kudownload wekezeni ndio sustainable life. Achaneni na hizo kamari kabisa wala hazitokupa uzoefu wowote. Mtoto wako hawezi kurithi kamari.
betpawa ukichagua match nyingi inaenda hadi mia tano, lkn mechi chache haikubaliBetPawa ni M80
Ngoja kwanza, upo kwenye hii tasnia?Ntakufundisha😃
Rudi shuleNisijiamini kwasababu gani??? Game ya nne 1*2 kaipa 2 result ft 3:0 hebu nieleweshe hii huenda sielewi... Mi nadhani ilitakiwa iwe 0:3 na sio 3:0
Kuna yule dogo alilamba B na point dah watu wana zali. Yote naonaga ni Mungu tu akiamua kukupa anakupa. Akiamua kukunyima anakunyima
🤭🤭🤭🤭 Project tunaanza lini baridi isijefika tena naogopa ngiri mieNgoja kwanza, upo kwenye hii tasnia?
🤭🤭🤭🤭 Project tunaanza lini baridi isijefika tena naogopa ngiri mie