Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge.
Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine.
Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa wakuu wa mikoa?
Wakuu wa wilaya wangapi wamekinai kuwa wakuu wa wilaya?
Viongozi wa taasisi wangapi wametosheka kuwa viongozi wa taasisi?
Je, Mkeka utakuwa na wale ambao wameshindwa kutimiza malengo na wala hawapo tayari kugombea? Ni wakina nani hao. Predictions + speculation?