Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ccm watatue matatizo ya wananchi, hasa rasilimali ardhi..., vijana na ajira na ugumu wa maisha, ccm imeanza kukataliwa na kasi ni kubwa.Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar; tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri.
Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya kichaguz imekuwa kubwa zaidi.
Tupisheni hadi wakati mwingine tutakapowaita tena
Wanasema there is loneliness at the top.Amani ya moyoni hakuna.Hiv huko kwenye muhimil unaoitwa Executive,hakunaga kazi nyingine ya maana zaidi ya kuandaa list za nani akae wapi?? Mbona viongozi wetu wamekua wapumbavu namna hii?