Try againPM inagoma
Kazi unaiandikia tangazo?Nenda mguu kwa mkono sehemu husika ukaonane na mabosi uso kwa macho ndiyo uiombe hiyo kazi.Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada tafadhali ela ya maji ipo.
Mkuu yan una miez kumi tayari unataka kampuni lingine, inatia shaka kidogoHabarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada tafadhali ela ya maji ipo.
Yaani vijana wa siku mna shida sana we unadhani kila mtu anakufahamu sio.Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada tafadhali ela ya maji ipo.
Haujataja elimu kama una degree na una experience njoo inbox kuna option za masters NorwayHabarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada tafadhali ela ya maji ipo.
Niliwahi kupeleka CV Caterpillar pale nikiwa na vumbi kwenye miguu balaa jamaa waliipokea baada ya mwezi walinipigia simu niende kuanza kazi bila interview ya chini yske sio niliyoomba niliwashukuru sana maana nilikua nishapata kazi nikajua jamaa walinionea huruma na lile vumbi kwenye viatu si kingine...Kazi unaiandikia tangazo?Nenda mguu kwa mkono sehemu husika ukaonane na mabosi uso kwa macho ndiyo uiombe hiyo kazi.
Ndivyo inavyotakiwa uende uonane nao.Na,watu wengi hawajui hilo kwamba usaili huanzia pale unapoonwa uso kwa macho.Niliwahi kupeleka CV Caterpillar pale nikiwa na vumbi kwenye miguu balaa jamaa waliipokea baada ya mwezi walinipigia simu niende kuanza kazi bila interview ya chini yske sio niliyoomba niliwashukuru sana maana nilikua nishapata kazi nikajua jamaa walinionea huruma na lile vumbi kwenye viatu si kingine...
Sema wafanyakazi wa sasa hivi pia hawana ushirikiano na vijana wetu ndio maana wamekua waoga yaani kama mtu hamjui anamtosa hata kusaini kama kitu kimeletwa ni sehemu chache watapata ushirikiano mzuri.Ndivyo inavyotakiwa uende uonane nao.Na,watu wengi hawajui hilo kwamba usaili huanzia pale unapoonwa uso kwa macho.
Aende wapi , tatizo watu mnakariri mambo Sana .Kazi unaiandikia tangazo?Nenda mguu kwa mkono sehemu husika ukaonane na mabosi uso kwa macho ndiyo uiombe hiyo kazi.