Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Tulipoenda akina sisi.Wewe ndiye umejikaririsha kukariri.Aende wapi , tatizo watu mnakariri mambo Sana .
Tulipoenda akina sisi.Wewe ndiye umejikaririsha kukariri.Aende wapi , tatizo watu mnakariri mambo Sana .
Sasa unzungumzia miaka mingapi iliyopita mkuu .Tulipoenda akina sisi.Wewe ndiye umejikaririsha kukariri.
Mpaka leo ni mwendo huohuo.Sharti kuu,asichague kazi sana.Sasa unzungumzia miaka mingapi iliyopita mkuu .
Kama unaweza Lab Chemist njoo inbox haraka sana nikupe kazi,andaa ya biaHabarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada tafadhali ela ya maji ipo.