Wewe mjamaa
Barbarosa umekataliwa kila kona humu JF, umeona uandae utumbo hapa ukenyani.
Kwa taarifa ya wote, huyo dada ni mzaliwa wa Ethiopia kwa jina la Elvan Abeylegesse. Amekuwa akiwakilisha uturuki miaka kadhaa sasa,kutoka 2000, sio habari mpya. Aliolewa na mturuki, wakawchana, na ana uraia wa huko kwa njia ya ndoa.
Na kila mtu duniani anafahamu nchi zipi 2 mababe wa mbio ya masafa marefu na kati, wanaogopa kushindana nazo, sitawataja. Inabidi watuhusishe kwenye program zao,tunatafutwa kama dhahabu. Tuko wengi sana, mfano mmoja ni Bernard Lagat wa USA ambaye aliwahi shinda dhahabu kwenye olimpiki,na kuwashinda wakenya.
Sio siri hawa ndugu zetu kutoka highlands za Kenya na Ethiopia ni wanoma sana kwenye mbio. Imefanyiwa utafiti na kuna sababu vingi, lakini lile kuu ni genetics. Tupa macho hadi Uganda, waliona mbali na kujua fursa ya kupata medali ya dunia au olimpiki litatokea toka hawa ma brother wa mbio. Wanavunjavunja rekodi za nchi zao na bara zao. Utagundua hadi na rekodi za Asia zimeshikwa na mzaliwa wa Kenya. Kama hii yote mijisifa, sijui sifa nini basi.
Zaidi hapa:
Elvan Abeylegesse - Wikipedia, the free encyclopedia