Mkenya aguswa na uchapakazi wa Magufuli na kumtungia wimbo matata

Mkenya aguswa na uchapakazi wa Magufuli na kumtungia wimbo matata

Huyo sio kenya akiwakilisha wakenya Bali ni mixer luo wa Kenya. Anaitwa ATOMI SIFA. Ni msanii wa nyimbo za kujaluo kazi yake ni kuwasifia matajili na wanasiasa mfano kuna nyimbo amewasifia RailaOdinga na hata mbunge wa rorya lameck airo.
Hakuna jipyaa
 
Nimeusikiliza hadi mwisho. Na kilicho nisikitisha zaidi huyu jamaa amesuka nywele, amejipodoa/kapiga deki sura na mbaya zaidi anamsifia mume wa mtu.
 
Kwendaa cyo Mkenyaa huyu ni Msukumaa huyuuu, unadhani kuna mkenyaa anamuelewaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unatukana? huwezi jenga hoja bila matusi?. Yeye mwenyewe anasema ni Mkenya.

Kwani huyu ni Mkenya wa kwanza kumsifia Magufuli?, Sonko, Muthama, Prezzoo, na wabunge kadhaa wa Kenya ambao wametoa kauli za kumsifia Magufuli pia sio Wakenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawajuatu
Huyo sio mkenya akiwakilisha wakenya Bali ni mixer luo wa Kenya . Anaitwa ATOMI SIFA. Ni msanii wa nyimbo za kujaluo kazi yake ni kuwasifia matajili na wanasiasa mfano kuna nyimbo amewasifia RailaOdinga na hata mbunge wa rorya lameck airo.

Mkuu.
Unaweza ukatafasiri hiyo nyimbo ili nasisi tuelewe maudhui yake..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio mkenya akiwakilisha wakenya Bali ni mixer luo wa Kenya . Anaitwa ATOMI SIFA. Ni msanii wa nyimbo za kujaluo kazi yake ni kuwasifia matajili na wanasiasa mfano kuna nyimbo amewasifia RailaOdinga na hata mbunge wa rorya lameck airo.
Hakuna jipyaa
Kwahiyo akiwasifia Raila na watu wengine anapoteza sifa ya kuwasifia watu wengine anaowaona wanafanya vizuri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha Sana, Sisi Waafrica bhana Matatizo matupu

Huyo Ata Obama alimuimba pengine ndio njia zake za Kiki (kutaka sifa)
 
Kwanini unatukana?, huwezi jenga hoja bila matusi?. Yeye mwenyewe anasema ni mkenya, wewe unakataa kwani ni mume wako?.

Kwani huyu ni mkenya wa kwanza kumsifia Magufuli?, Sonko, Muthama, Prezzoo, na wabunge kadhaa wa Kenya ambao wametoa kauli za kumsifia Magufuli pia sio wakenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau na zile kauli za wale jamaa zenu kuisifia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio mkenya akiwakilisha wakenya Bali ni mixer luo wa Kenya . Anaitwa ATOMI SIFA. Ni msanii wa nyimbo za kujaluo kazi yake ni kuwasifia matajili na wanasiasa mfano kuna nyimbo amewasifia RailaOdinga na hata mbunge wa rorya lameck airo.
Hakuna jipyaa
Miaka ya 2004 wakija Rorya (Shirati) kiingilio buku 5 na kazi kuwasifia matajiri wa biashara ya samaki miaka ile akina Ongujo, Ochere, Airo nk. Kwa tunaowajua ni kweli njaa kali tu.
 
Miaka ya 2004 wakija Rorya (Shirati) kiingilio buku 5 na kazi kuwasifia matajiri wa biashara ya samaki miaka ile akina Ongujo, Ochere, Airo nk. Kwa tunaowajua ni kweli njaa kali tu.
LOL Heche yeye bado?
 
Ni hivi karibuni nimejua Wakenya wanafatilia kila second ya kinachotokea Tanzania kuliko Kenya, talking about literally every single area of what happening or about to happen in Tanzania they have the full details countered.

JPM is the famous man in Kenya before anyone else.
 
Ni hivi karibuni nimejua wakenya wanafatilia kila second ya kinachotokea Tanzania kuliko Kenya, talking about literally every single area of what happening or about to happen in Tanzania they have the full details countered.

JPM is the famous man in Kenya before anyone else.
Yaani kila anachofanya JPM ni breaking news kule kenya yaani hadi akitania 😂😂😂
 
Back
Top Bottom