Mkenya aguswa na uchapakazi wa Magufuli na kumtungia wimbo matata

Mkenya aguswa na uchapakazi wa Magufuli na kumtungia wimbo matata

Bwahahaaa!!kuna habari gani ya kenya isiyopenya tz, zaidi mpka uchaguzi wetu mnaufwatilia na kuside[emoji23][emoji23][emoji23]
Zaidi ya uchaguzi ambao unavutia nchi nyingi kutokana na tabia yenu ya kuchinjana wakati wa uchaguzi, nani tena anazungumza na kufuatilia habari za Kenya? Nchi ya Kenya inagonga vichwa vya habari kutokana na kuchinjana wakati wa uchaguzi pekee.
 
Hanna watu wanafatilia habari za Kenya kama nyinyi hadi kushinda wakenya wenyewe..mnakesha kwenye media za Kenya 24/7
Kenya kuna habari gani za kufuatiliwa zaidi ya mauaji ya kisiasa, police brutality, terrorist attacks, hunger, locust and tribalism?
 
Hanna watu wanafatilia habari za Kenya kama nyinyi hadi kushinda wakenya wenyewe, mnakesha kwenye media za Kenya 24/7
Ndio Watanzania walivyo watulivu hawana habari na wengine ila ukiwaanza bc wao wanajibu Kwa ubora zaid na kwa umoja zaidi sasa usilalamike mumeyataka wenyewe
 
Sijawahi kaa kupoteza muda kuangalia media za failed state kwanza Tv yangu haina hata channel moja ya kenya,

Habari za kenya huwa nakutana nazo tu,

Mnamfuatilia JPM utafikiri ni rais wenu yaani kila anachofanya media zenu zinaripoti,

JPM akipost kitu wakenya mnajazana kucomments utafikiri kapost kwa ajili ya nchi yenu [emoji23][emoji23][emoji23]

Wataje channel moja tu inayomtangaza Uhuru
 
Zaidi ya uchaguzi ambao unavutia nchi nyingi kutokana na tabia yenu ya kuchinjana wakati wa uchaguzi, nani tena anazungumza na kufuatilia habari za Kenya? Nchi ya Kenya inagonga vichwa vya habari kutokana na kuchinjana wakati wa uchaguzi pekee.
Bwahaha!!usitumie nguvu nyingi kujitetea, sai kwanza kuna watanzania tayari wanakiri km wanapenda sana kuangalia tv stations za kenya..
 
Ungejua wabongo hawa fahamu huo ujinga wala usinge kuwa unahara hapa.
Unapinga nn n ni kweli, ingia katima mitandao yenu ya kijamii...utakuta kenyan news mpka za subcounties hadi nashangaa bana[emoji23][emoji23]
Na wakati mm sijui chato km maisha yakoje na sina hamu
Ju hata wakichinjana leo hko siwezi jua manake siangalii habari zenu labda iletwe hapa jf
 
Mitandao ipi ya kijamii hiyo?
 
Magufuli Ni mwanaume saana. He is transforming Tanzania like nobody's business.

Bulldozing and pushing the country forward in an unimaginable pace.
 
Yaani Mtanzania akae vijiweni aanze kujadili failed state!

Punguza shobo.
Najua ni ngumu kumeza, lkn huo ndio uhalisia.
Hata kw bibi ukiweka habari za citizen unakuta watu hata hawashtuki na wanaangalia tu..
Mara ya kwanza kwanza nlikua nikiogopa lkn nikaja nikazoea..
RIP grandma
 
Hongera sana jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app

huyu mtanzania pia ameguswa na huyo utenda kazi pia. enjoy

Magufuli, the Chosen One!

1594137006028.png
 
Back
Top Bottom