Mkenya aguswa na uchapakazi wa Magufuli na kumtungia wimbo matata

Mkenya aguswa na uchapakazi wa Magufuli na kumtungia wimbo matata

Ni hivi karibuni nimejua wakenya wanafatilia kila second ya kinachotokea Tanzania kuliko Kenya, talking about literally every single area of what happening or about to happen in Tanzania they have the full details countered.

JPM is the famous man in Kenya before anyone else.
Sisi tuna njaa hatuna muda wa kufuatilia mambo ya kipuzi.
 
joto la jiwe,

Nonsense
Sio Mkenya wala Msukuma. Wahamiaji toka DRC kama sio Rwanda. Tz inamhusu nini
Amsifie au kumkosoa Uhuru
 
Yaani kila anachofanya JPM ni breaking news kule kenya yaani hadi akitania [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwahahaaa!!kuna habari gani ya kenya isiyopenya tz, zaidi mpka uchaguzi wetu mnaufwatilia na kuside[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo sio mkenya akiwakilisha wakenya Bali ni mixer luo wa Kenya . Anaitwa ATOMI SIFA. Ni msanii wa nyimbo za kujaluo kazi yake ni kuwasifia matajili na wanasiasa mfano kuna nyimbo amewasifia RailaOdinga na hata mbunge wa rorya lameck airo.
Hakuna jipyaa
Kwahiyo Mtanzania au hana uraia
 
Hanna watu wanafatilia habari za Kenya kama nyinyi..mnakesha kwenye media za Kenya 24/7
Sijawahi kaa kupoteza muda kuangalia media za failed state kwanza Tv yangu haina hata channel moja ya kenya,

Habari za kenya huwa nakutana nazo tu,

Mnamfuatilia JPM utafikiri ni rais wenu yaani kila anachofanya media zenu zinaripoti,

JPM akipost kitu wakenya mnajazana kucomments utafikiri kapost kwa ajili ya nchi yenu [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Back
Top Bottom