Mkenya aliingia Tanzania kinyemela kuhudhuria mazishi ya ndugu, akaambukizwa kirusi huko

Mkenya aliingia Tanzania kinyemela kuhudhuria mazishi ya ndugu, akaambukizwa kirusi huko

Zipo kwenye Uzi wa joto la jiwe

Huyo huwa hata sihangaiki kufungua nyuzi zake, labda uniambie kama chochote nje ya yale yale ya kila siku...
Vipi naona majirani wenu wote wamewafungia mipaka
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu - JamiiForums

2395198_Screenshot_20200510-151240.jpg
 
Hicho kijiji cha Kenya ni wambeya waliotukuka ulimwenguni. Sio cha kuishi kabisa.
 
Hao ni kuoverreact kwao tu...Sisi tupo kwenye hatua za kutoa dawa sahivi na tunachukua hatua,hata yale mavideo ya ajabu yamepungua sahivi... Hao wapo kwenye hatua za kupanick sisi tulishatokaga huko,nikukabiliana na kirusi sababu tunajua kipo kitaa ndani ya 18 zetu ni kulala nacho mbele kwa mbele...Hata mimi last week nilishikwa na dalili za hichi kiumbe..,nikala machungwa sana,ikawa bado tu;asubuhi napiga chai ya tangawizi kali kuliko tangawizi yenyewe.., ikabaki homa na pua kuwasha tu mafua hamna,nikakumbuka nyungu ya mzee piga kama mara moja hivi ya uhakika kesho yake mapua yakaacha kuwasha na homa ikashuka...nikapiga panadol ikashuka zaidi na sahivi nina homa tu kwa mbali sana... sijui ilikuwa ni ngoma yenyewe au nini ila kama ndo yenyewe basi tushapeana bye hivyo... Nikibahatika kupata dawa ya Madagascar au profesa nayo napiga...Ndo hivyo mzee pambana nacho rudi kazini..Yaani huko ulaya na marekani walishasahau kupanick we ndo unapanick sahivi!!!
 
Hapa panaitwa mtakuja, wacha watapetape watakuja kupiga magoti wenyewe. China ilichafukaga na covid mbn Leo watu wanashindana kuhamia huko tena whites haohao

Hahah daah unajilinganisha na china ambayo jimbo lake 1 tu uchumi wake ni mkubwa kuliko uchumi wa E/Africa combined.
 
usifanye hivyo unaidhurumu nafsi yako.

hufungui uzi kwanini!!!,ona unashindwa hata kumjibu jamaa jibu sahihi hapa[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii mitandao ya kijamii haufungui kila uzi, mara nyingi huwa naangalia aliyeleta nani na uzi wenyewe unahusu nini, au kama unahusu taarifa ambazo nazifahamu tayari panakua hamna umuhimu wa kuzisoma tena.
Pia huwa naangalia nani mwandishi wa uzi kabla nifungue, maana wengi hupenda kupindisha na kuongeza chumvi hivyo nakua nimepoteza muda wangu bure, kitambo mwanzo mwanzo hapa JF nilikua nafungua kila uzi unao ongea mabaya kuihusu Kenya, nagombana na kila mtu na kujibu kila mmoja, ila baadaye nikaona haisaidii kitu maana hata ukiwaelimisha vipi haswa propagada machine wa CCM, watang'ang'ania na hawabadiliki, hivyo huwa napita tu.

Kwa mfano utegemee nini tofauti wakati mtu ameanzisha uzi wenye kichwa "Maelfu ya Wakenya wanakufa njaa kila siku"....
 
Yaani naskia pale mpakani hata unaweza ukapigiwa makelele ya mwizi ukithubutu kupita, ila polisi ndio wanatuangusha, kwamba imekua eti ukitaka kupita salama bila usumbufu unatumia polisi kwa kuwalipa.
Halafu jana nilishuhudia jamaa huku kwetu anakamatwa kisa barakoa, alijitetea kwa maneno maneno mengi (ungedhani Mtanzania maana wao ndio huwa watu wa maneno mengi), ila sijui yaliisha vipi, nilimuacha analia sana.

Hizi barakoa hatujazizoea, kuna wakati unajisahau na kuishusha.
Hizi lockdowns zitaongeza sana rushwa. Weak links za Africa ni rushwa labda ndiyo maana Magufuli kaona bora akae kimya kitu.
 
Alikwenda kisiri na kuishi huko zaidi ya wiki mbili, akakamatwa wakati anajaribu kurudi, amepimwa na kukutwa amesheheni kirusi. Atakula jeuri yake mpuzi, kila siku tunasema watu waepuke kwenda kule Tanzania kwa sasa, wale kule wameshafanya maamuzi ya kufukia vichwa ardhini, wamegoma kuchukua hatua zozote za maana, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe na kwenye madaladala, sasa ukienda huko lazima uibuke nacho.

Wameacha kupima baada ya kuibua tikitaka za mapaipai na matikiti maji, hivyo hawaendani na taifa lolote duniani. Wamezembea kupita maelezo na kukaidi kila aina ya ushauri wa kitaalam, na wameshatangaza ligi la soka litaendelea. Hehehe wakaidi balaa, mfupa uliomshinda fisi.

======

Covid-19: Homa Bay's 2nd patient sneaked into Tanzania and back

The 45-year-old woman from Homa Bay County, who tested positive for the coronavirus, sneaked into Kenya from Tanzania where she had attended a relative’s funeral.

The woman, who hails from Gwassi in Suba Sub-county, reportedly crossed into Tanzania illegally two weeks ago, to bury her step-father in Shirati.

County Health executive Richard Muga said she stayed in that country for two weeks and that it is believed she contracted the virus there.

She returned to Kenya at about midnight on May 5 and then travelled back to her home in Mukuyu village using a boda boda.

Villagers reported her travels to local authorities, worried about possible transmission of the Covid-19 disease.

"They had not seen her for two weeks. They got information that she had travelled to Tanzania for a funeral and decided to inform their local chief," Prof Muga said.

Source: Daily Nation
Wakenya mna shida sana eti amezamia wiki mbili na kupata Corona Tanzania! Kuonyesha tu eti nyie mko salama na ametoka kwenu salama amepatia kirusi Tanzania!!!
Kwanza waandishi wa Kenya ni wapumbavu, Wasingepaswa kabisa kuandika ujinga kama huu,
Taratibu za kuingia nchi na nchi zinajulikana unaandikaje udaku? Wakati ushaidi Wa kuingia na kutoka Tanzania haupo!!!
Acheni ujinga pamabaneni uko kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kijiji cha Kenya ni wambeya waliotukuka ulimwenguni. Sio cha kuishi kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

stidy
 
Hao ni kuoverreact kwao tu...Sisi tupo kwenye hatua za kutoa dawa sahivi na tunachukua hatua,hata yale mavideo ya ajabu yamepungua sahivi... Hao wapo kwenye hatua za kupanick sisi tulishatokaga huko,nikukabiliana na kirusi sababu tunajua kipo kitaa ndani ya 18 zetu ni kulala nacho mbele kwa mbele...Hata mimi last week nilishikwa na dalili za hichi kiumbe..,nikala machungwa sana,ikawa bado tu;asubuhi napiga chai ya tangawizi kali kuliko tangawizi yenyewe.., ikabaki homa na pua kuwasha tu mafua hamna,nikakumbuka nyungu ya mzee piga kama mara moja hivi ya uhakika kesho yake mapua yakaacha kuwasha na homa ikashuka...nikapiga panadol ikashuka zaidi na sahivi nina homa tu kwa mbali sana... sijui ilikuwa ni ngoma yenyewe au nini ila kama ndo yenyewe basi tushapeana bye hivyo... Nikibahatika kupata dawa ya Madagascar au profesa nayo napiga...Ndo hivyo mzee pambana nacho rudi kazini..Yaani huko ulaya na marekani walishasahau kupanick we ndo unapanick sahivi!!!

Wengi nikiwemo hatuogopi kuumwa hiki kidude, maana tumejiandaa na kukisubiri kwa hamu ili tupeane salamu na kuagana, lakini hofu yetu ipo kwa wale dhaifu walio ndani ya jamii yetu, haswa wazee wetu na pia wanaoumwa maradhi mengine, na ndio maana tunajaribu sana kila namna kuhakikisha kila mmoja anapimwa, na ikiwezekana tupime mara moja kila wiki na kurudia tena na tena hadi siku kitaondoka duniani au mzungu ataleta madawa ya uhakika achana na vikombe vya babu.

Kikiingia kwako kinaweza kikakuacha salama lakini kikaondoka na mkeo au mwanao au mama yako, hivyo usiwe mbinafsi eti kisa una machhungwa na malimau na mazagazaga ya kufukiza, kuna watu kikiingia ndani yao hata afanye vyote hivyo lazima kivuke naye mazima mazima, hivyo walinde uwapendao.
 
Tahadhari muhimu,ni barakoa,kunawa na social distance..Sema hii social distance wakaidi ni wengi... Ila mimi kama mimi na wengine nilio na uhusiano nao precautions zote tunachukua.
 
Tahadhari muhimu,ni barakoa,kunawa na social distance..Sema hii social distance wakaidi ni wengi... Ila mimi kama mimi na wengine nilio na uhusiano nao precautions zote tunachukua.

Shughuli inakua pale wewe uchukue tahadhari ila majirani na wote waliokuzunguka wapo wapo tu hawana habari, kwa mfano kama una watoto, lazima kiaina kwa namna moja au nyingine watacheza na watoto wa majirani na inafahamika watoto ndio "super spreaders".
Kimsingi ni kuhubiriana tahadhari na pia serikali kulazimisha ikihitajika.
Hata kwetu huku kuna majitu yamejitoa ufahamu hayana habari, yaani mpaka akamatwe na polisi kwa kukosa kuvaa barakoa ndio anashtuka, anajitetea kama mtoto. Unakuta jitu linakohoa kohoa tu na halijavaa barakoa......hehehe!! Hiki kirusi kimetuhurumia Afrika maana duh kiukweli ule utabiri wa Waafrika kufa milioni haukua na makosa, ni kwamba kirusi hakina haja na vifo vya Waafrika.
 
Back
Top Bottom