Mkenya aliyeshikiliwa Tanzania na kuachiwa, akamatwa tena, pia aliyekwenda kumpokea naye akamatwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tatizo hakuna maelezo yanayotolewa kisa cha huyu Mkenya kupitia masaibu yote hayo ya kukamatwa, kuachiwa na kukamatwa tena, hamna taarifa za tuhuma zinazomkabili, halafu kiongozi wa asasi ya kiraia inayoshughulkia haki za jamii Kenya, inayoitwa Hakia Africa, alikwenda kumpokea huyo Mkenya ila naye akatiwa mbaroni papo hapo.

Japo huyu kiongozi hupenda sana kulaumu uongozi Kenya na kusema tunaendeshwa kidikteta, sasa kaenda Tanzania na kukuta nini maana ya neno 'dikteta', nafikiri siku akiachiwa na kurudi Kenya, atakua amepata darasa la kutosha.
---------------------------------------

1872806.jpg
Haki Africa executive director (in a white t-shirt and blue jeans) with Hamisi Madilo (blue t-shirt) at Horohoro, Tanzania. /BRIAN OTIENO
Human rights activist Hussein Khalid has been detained by Tanzanian authorities at the Horohoro border post.
The Haki Africa executive director was detained after demanding the release of Hamisi Madilo, who had been held for nine days by immigration officials.
Trouble started when the authorities brought Madilo to the Horohoro border post after being released by the authorities.
However, he was immediately re-arrested after meeting his family, including wife Zetuni Chimako, and father Mohamed Mbetsa, and Haki Africa officials.
Tension began after Khalid demanded to know why Madilo was re-arrested even after intervention from Kenyan Foreign Affairs CS Monica Juma.
Haki Africa said Madilo was secretly moved from the Horohoro border post after re-arrest and taken to Tanga.
"HAKI Africa demands the immediate release of Hamisi and Hussein Khalid," said Haki Africa rapid response Mathias Shipeta.

Haki Africa's Hussein Khalid detained in Horohoro, Tanzania
 
Kama hafati mashari na sharia za huku hata angekuwa anatoka nchi gani lazima akamatwe... na wala kumkamata hakumanishi kuwa sisi ni madikteta. acha wivu wa kike na chuki na ukabila,
HAPA KAZI TU.
Udikteta ni pale unamshikilia mtu bila kusema kisa nini, ifahamike ni haki ya kila nchi kumkamata yeyote wakati wowote siku yoyote, ila pia ni ustaarabu kusema kwanini unamkamata, unamtuhumu kwa lipi, hata kama kaua watu huko, iseme tu ili ifahamike Mkenya ananyea debe Tanzania kwa tuhuma za kuwaua watu.
Lakini hili la kumkamata kimya kimya, kumuachia kisha kumkamata tena na kukamata mtu aliyekwenda kumpokea wakati mlikua mumeachia, inadhihirisha kasoro kubwa sana kwenye mfumo wenu.
Uongozi wa Kenya unafaa kuanza kuwajibika, wanakaa kama mamburula wakati raia wetu wanapitia mahangaiko Tanzania, ni muhimu sana vyombo vya habari Kenya kuanza kuangaza haya mambo ili kieleweke kimoja.
 
Mnataka vita na sisi tunamakombola kama ya kiduku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Udikteta ni pale unamshikilia mtu bila kusema kisa nini, ifahamike ni haki ya kila nchi kumkamata yeyote wakati wowote siku yoyote, ila pia ni ustaarabu kusema kwanini unamkamata, unamtuhumu kwa lipi, hata kama kaua watu huko, iseme tu ili ifahamike Mkenya ananyea debe Tanzania kwa tuhuma za kuwaua watu.
Lakini hili la kumkamata kimya kimya, kumuachia kisha kumkamata tena na kukamata mtu aliyekwenda kumpokea wakati mlikua mumeachia, inadhihirisha kasoro kubwa sana kwenye mfumo wenu.
Uongozi wa Kenya unafaa kuanza kuwajibika, wanakaa kama mamburula wakati raia wetu wanapitia mahangaiko Tanzania, ni muhimu sana vyombo vya habari Kenya kuanza kuangaza haya mambo ili kieleweke kimoja.
Mlikuja Tanzania kufuata nini? Ondokeni haraka hakuna anayewahitaji, nyinyi sijui mlilogewa Tanzania.
 
inapendeza na nyinyi muonje joto ya JIWE sio sisi tu..

ujirani mwema ni kusaidiana maombolezo jameni

Hehehe yaani wewe kichaa, aisei kweli.
 
Tatizo hakuna maelezo yanayotolewa kisa cha huyu Mkenya kupitia masaibu yote hayo ya kukamatwa, kuachiwa na kukamatwa tena, hamna taarifa za tuhuma zinazomkabili, halafu kiongozi wa asasi ya kiraia inayoshughulkia haki za jamii Kenya, inayoitwa Hakia Africa, alikwenda kumpokea huyo Mkenya ila naye akatiwa mbaroni papo hapo.

Japo huyu kiongozi hupenda sana kulaumu uongozi Kenya na kusema tunaendeshwa kidikteta, sasa kaenda Tanzania na kukuta nini maana ya neno 'dikteta', nafikiri siku akiachiwa na kurudi Kenya, atakua amepata darasa la kutosha.
---------------------------------------

1872806.jpg
Haki Africa executive director (in a white t-shirt and blue jeans) with Hamisi Madilo (blue t-shirt) at Horohoro, Tanzania. /BRIAN OTIENO
Human rights activist Hussein Khalid has been detained by Tanzanian authorities at the Horohoro border post.
The Haki Africa executive director was detained after demanding the release of Hamisi Madilo, who had been held for nine days by immigration officials.
Trouble started when the authorities brought Madilo to the Horohoro border post after being released by the authorities.
However, he was immediately re-arrested after meeting his family, including wife Zetuni Chimako, and father Mohamed Mbetsa, and Haki Africa officials.
Tension began after Khalid demanded to know why Madilo was re-arrested even after intervention from Kenyan Foreign Affairs CS Monica Juma.
Haki Africa said Madilo was secretly moved from the Horohoro border post after re-arrest and taken to Tanga.
"HAKI Africa demands the immediate release of Hamisi and Hussein Khalid," said Haki Africa rapid response Mathias Shipeta.

Haki Africa's Hussein Khalid detained in Horohoro, Tanzania
Inaelekea huo ulikua ni mtego wa kuwakamata wahusika wote....
 
Acheni vyombo vya usalama vifanye kazi zao, macho yao yanaona mbali kuliko yetu!!! huwezi kujua hufanya nini mapaka sisi raiyaa tubaki salama, waweza kuishi na jirani yako anajifanya mwema kweli kweli , mwanaharakati, kumbe kuna vitu vimejificha kwake, utalaumu kitu usichokijua kisa mkenya mwenzetu kakamatwa? tukumbuke hawa wanausalama wanashirikiana katika nchi zote!!! nani ajuaye? tuilinde mipaka yetu!!! tuilinde afrka mashariki mpaka pale somalia itakapotulia ndio tupumue
 
Riwaya yote hii unaandika ya nini haswa, hujasoma na kuelewa, mimi sina issue na kazi ya wana usalama, hata kwetu wapo watu wanaoshikiliwa, lakini nyie mnamkamata mtu bila kueleza nini sababu.
 
inapendeza na nyinyi muonje joto ya JIWE sio sisi tu..

ujirani mwema ni kusaidiana maombolezo jameni
😀😀😀 Dah! Kwenye haya maombolezi hamna hata pilau buana? Yataisha lini tuende zetu home? Kila siku ni msiba mpya juu ya ule msiba mwingine wa jana. Nalendwa, njoo tuomboleze pamoja, usiwe hivyo.
 
Hahaha!, eti maombolezo bila pilau! 😀😀😀

Kunani tena Jirani!..
Alie enda kumtoa na yeye kawekwa ndani?
Kweli Tized ya Magufuli.
 
Tatizo hakuna maelezo yanayotolewa kisa cha huyu Mkenya kupitia masaibu yote hayo ya kukamatwa, kuachiwa na kukamatwa tena, hamna taarifa za tuhuma zinazomkabili, halafu kiongozi wa asasi ya kiraia inayoshughulkia haki za jamii Kenya, inayoitwa Hakia Africa, alikwenda kumpokea huyo Mkenya ila naye akatiwa mbaroni papo hapo.

Japo huyu kiongozi hupenda sana kulaumu uongozi Kenya na kusema tunaendeshwa kidikteta, sasa kaenda Tanzania na kukuta nini maana ya neno 'dikteta', nafikiri siku akiachiwa na kurudi Kenya, atakua amepata darasa la kutosha.
---------------------------------------

1872806.jpg
Haki Africa executive director (in a white t-shirt and blue jeans) with Hamisi Madilo (blue t-shirt) at Horohoro, Tanzania. /BRIAN OTIENO
Human rights activist Hussein Khalid has been detained by Tanzanian authorities at the Horohoro border post.
The Haki Africa executive director was detained after demanding the release of Hamisi Madilo, who had been held for nine days by immigration officials.
Trouble started when the authorities brought Madilo to the Horohoro border post after being released by the authorities.
However, he was immediately re-arrested after meeting his family, including wife Zetuni Chimako, and father Mohamed Mbetsa, and Haki Africa officials.
Tension began after Khalid demanded to know why Madilo was re-arrested even after intervention from Kenyan Foreign Affairs CS Monica Juma.
Haki Africa said Madilo was secretly moved from the Horohoro border post after re-arrest and taken to Tanga.
"HAKI Africa demands the immediate release of Hamisi and Hussein Khalid," said Haki Africa rapid response Mathias Shipeta.

Haki Africa's Hussein Khalid detained in Horohoro, Tanzania
Hata sisi tuwakamate Watanzania walio Kenya. Tit for tat always wins
 
Back
Top Bottom