Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Nyie mna makombola sisi tuna makombora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mna makombola sisi tuna makombora.
Ndiyo kazi gani hiyo??Kama hafati mashari na sharia za huku hata angekuwa anatoka nchi gani lazima akamatwe... na wala kumkamata hakumanishi kuwa sisi ni madikteta. acha wivu wa kike na chuki na ukabila,
HAPA KAZI TU.
Ya ku-maintain the rule of law!
Yalianza alipochoma protein zetu pale Namanga hadi leo hii bado maombolezo hajaisha. Hata pilau baada ya maombolezo hatuoni, yakiisha msiba mwingine unabisha mlangoni. Hii ni zaidi ya moto wa Jehanam. [emoji1]Hahaha!, eti maombolezo bila pilau! 😀😀😀
Kunani tena Jirani!..
Alie enda kumtoa na yeye kawekwa ndani?
Kweli Tized ya Magufuli.
😀😀😀hapa ni kuomboleza tu pilau kwenu..😀😀😀 Dah! Kwenye haya maombolezi hamna hata pilau buana? Yataisha lini tuende zetu home? Kila siku ni msiba mpya juu ya ule msiba mwingine wa jana. Nalendwa, njoo tuomboleze pamoja, usiwe hivyo.
Hahaa! [emoji1][emoji1][emoji1] Msiba mupya mupya kila leo hadi akiba ya machozi imefifia, kilichobaki sasa ni machozi ya unga jombaa. [emoji38]😀😀😀hapa ni kuomboleza tu pilau kwenu..
na kwetu misiba haiishi kila day kuna msiba mupya kabisa
😀😀😀Hahaa!![]()
Msiba mupya mupya kila leo hadi akiba ya machozi imefifia, kilichobaki sasa ni machozi ya unga jombaa.![]()
![]()
Yalianza alipochoma protein zetu pale Namanga hadi leo hii bado maombolezo hajaisha. Hata pilau baada ya maombolezo hatuoni, yakiisha msiba mwingine unabisha mlangoni. Hii ni zaidi ya moto wa Jehanam. [emoji1]
Maybe. Is this how it goes, all the time? [emoji15]Hahah!, jamani.
Pengine we'll need the African Union's engagement in this..
Hahahahhaaa MBUZI KAFIA kwa muuza SUPU.Tatizo hakuna maelezo yanayotolewa kisa cha huyu Mkenya kupitia masaibu yote hayo ya kukamatwa, kuachiwa na kukamatwa tena, hamna taarifa za tuhuma zinazomkabili, halafu kiongozi wa asasi ya kiraia inayoshughulkia haki za jamii Kenya, inayoitwa Hakia Africa, alikwenda kumpokea huyo Mkenya ila naye akatiwa mbaroni papo hapo.
Japo huyu kiongozi hupenda sana kulaumu uongozi Kenya na kusema tunaendeshwa kidikteta, sasa kaenda Tanzania na kukuta nini maana ya neno 'dikteta', nafikiri siku akiachiwa na kurudi Kenya, atakua amepata darasa la kutosha
Maybe. Is this how it goes, all the time? [emoji15]
I was asking about the endless mourning. 🙂No Jirani. Was jst wildly thinking of a solution to this..
I was asking about the endless mourning. 🙂
Sindano ishaanza kuwaingia,kuweni wapole tuUdikteta ni pale unamshikilia mtu bila kusema kisa nini, ifahamike ni haki ya kila nchi kumkamata yeyote wakati wowote siku yoyote, ila pia ni ustaarabu kusema kwanini unamkamata, unamtuhumu kwa lipi, hata kama kaua watu huko, iseme tu ili ifahamike Mkenya ananyea debe Tanzania kwa tuhuma za kuwaua watu.
Lakini hili la kumkamata kimya kimya, kumuachia kisha kumkamata tena na kukamata mtu aliyekwenda kumpokea wakati mlikua mumeachia, inadhihirisha kasoro kubwa sana kwenye mfumo wenu.
Uongozi wa Kenya unafaa kuanza kuwajibika, wanakaa kama mamburula wakati raia wetu wanapitia mahangaiko Tanzania, ni muhimu sana vyombo vya habari Kenya kuanza kuangaza haya mambo ili kieleweke kimoja.
Tehe tehe teheUongozi wa Kenya unafaa kuanza kuwajibika, wanakaa kama mamburula wakati raia wetu wanapitia mahangaiko Tanzania, ni muhimu sana vyombo vya habari Kenya kuanza kuangaza haya mambo ili kieleweke kimoja.
Tehe tehe tehe
Hata kama anashukiwa kua ni gaidi au shushu shu tumuachie?
Tulia tu kwanza,hata mie nikiingia kenya kihalifu nitashughulikiwa tu,kuita magazeti hukuwezi kuitisha serikali
Mkuu si ulisema FM wenu aliingilia kati au mpaka uambiwe wewe ndio utahisi imeseMkenya yeyote atakayevuka mpaka na kuja huko kuhusika kwenye uhalifu wowote au ugaidi, ashughulkiwe tu tena bila huruma, lakini hili la kukamata mtu na hamsemi kisa nini, mnamuachia huru halafu mnamkamata tena, ni wazi tunakokwenda hakufai,