Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Naangalia Azam news muda huu.raia wa Kenya (mkikuyu) kwa mujibu wa utambulisho wake mwenyewe.anaeleza kwamba alikuwa na wenzake baada ya kuzidiwa na homa wakamtelekeza hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imejipost kabla sijamaliza mkuu.kuna attachment naiweka hapa mjionee.
Mkuu samahani hiyo avatar ina uhusiano wowote na wewe?Bora ata ungefanya C&P kutoka azam news ingependeza zaidi
alikuwa
Mkuu samahani hiyo avatar ina uhusiano wowote na wewe?
😂😂concentrate na corona mzeeMkuu samahani hiyo avatar ina uhusiano wowote na wewe?
Sisi sio mafala.Mleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Mkuu sasa na wewe inakuwaje unachangia katika mada ambayo hujaielewa?Mleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Mleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Wagonjwa wote waliokuja na Corona kutoka Tanzania hakuna hata mmoja anayeteswa au kutelekezwa huku, nyie hapo mumtese msafiri kisa anaumwa, na hamjapima kujua anaumwa nini.
Mambo kama haya husababisha uhusiano mbaya wenye visasi. Hii awamu ya sasa mumeishiwa kweli.
Katazame hio video.Mgonjwa anasema kabisa ana mafua makali.Mleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Wagonjwa wote waliokuja na Corona kutoka Tanzania hakuna hata mmoja anayeteswa au kutelekezwa huku, nyie hapo mumtese msafiri kisa anaumwa, na hamjapima kujua anaumwa nini.
Mambo kama haya husababisha uhusiano mbaya wenye visasi. Hii awamu ya sasa mumeishiwa kweli.
Hii mijamaa bana,eti limejitambulisha kama mkikuyu,angetaja jina na utaifa wake tuNaangalia Azam news muda huu.raia wa Kenya (mkikuyu) kwa mujibu wa utambulisho wake mwenyewe.anaeleza kwamba alikuwa na wenzake baada ya kuzidiwa na homa wakamtelekeza hapo.
Nimechangia kwa kuomba mleta mada atulie na kukusanya taarifa ili watu tuchangie from informed position.Mkuu sasa na wewe inakuwaje unachangia katika mada ambayo hujaielewa?
Cha muhimu hapa ni kutafuta hao waliomuacha mwenzao na wakipatikana wapigwe na kutupwa msituniNimeitazama video, nafikiri hadi hapo mtaacha ubishi wa kutusema kisa tunapima watu wengi, sasa mtaelewa kwanini tunapima wengi na kutangaza bila kuficha, maana tumejua tayari kirusi kiko mtaani, hivyo lazima tujaribu kila namna kukimbizana nacho.
Nyie hapo mnapima wachache ili muonekane hakipo sana, mtaweka picha ya kwamba Tanzania hamna kirusi na kusababisha watu waanze kukimbilia huko.
Sasa hivi wazungu wanatafuta nchi ambazo hazijaathirika zaidi wakajifiche huko.