Mkenya aliyetorokwa Tanzania atelekezwa Makuyuni akiwa hoi na corona

Mkenya aliyetorokwa Tanzania atelekezwa Makuyuni akiwa hoi na corona

unamaanisha nini mkuu?
Kwamba siye kila anaye challenge serikali au miradi ya Tanzania ni mtanzania maana watu humu wanaitana ccm au chadema wakidhani kila anayepost thread au coment humu ni mtanzania.
 
Kwamba siye kila anaye challenge serikali au miradi ya Tanzania ni mtanzania maana watu humu wanaitana ccm au chadema wakidhani kila anayepost thread au coment humu ni mtanzania.
shukran. nimekuelewa
 
Laiti hao wakenya wanaotoroka kwao kila siku kuingia TZ wangekuwa wanasoma kinachoandikwa na ndugu zao hapa JF, walahi tena wangefanya mtu kitu mbaya hapa jamvini🙂
Wakenya Kila siku wanakamatwa wakiingia Tanzania kwa njia za panya ajabu wanawekwa karantini wanalalamika hawana pesa wengine hawana nguo Sasa wanakuja kufanya nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii serikali yetu kila siku ilikuwa inasema sisi tupo vizuri, uchumi umeimarika, leo corona imekuja twaanza kuambiwa sisi ni hohehahe, hatuna chochote ukitufungia siku mbili tu umetuua, tushike lipi?
mmmh.... aisee! ni sheedah kwel kwel. zile mbwembwe zote zimeisha. nchi imejaa vikaragosi
 
Mleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Wagonjwa wote waliokuja na Corona kutoka Tanzania hakuna hata mmoja anayeteswa au kutelekezwa huku, nyie hapo mumtese msafiri kisa anaumwa, na hamjapima kujua anaumwa nini.
Mambo kama haya husababisha uhusiano mbaya wenye visasi. Hii awamu ya sasa mumeishiwa kweli.
Waliomkimbia Ni wakenya wenzake siyo watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada alikuwa yupo kwa siku zake anavuja damu, so alishindwa kutembea akawa amekaa chini, watu ndio wakamhisi kuwa ana corona na hata hivyo alichukuliwa na polisi wakiwa na madaktari kumpeleka kwenda kupimwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom