Mkenya aliyetorokwa Tanzania atelekezwa Makuyuni akiwa hoi na corona

Mkenya aliyetorokwa Tanzania atelekezwa Makuyuni akiwa hoi na corona

Magufuli administration must pass appropriation to beef up security at the northern boarder. Illegal aliens from Kenya should be deported and required to apply for humanitarian asylum while situated in their home country. Applicants deemed to be economic refugees, along with those fleeing their Kenyan homelands in search of new lands should not be admitted, Tanzania is beyond full.
 
Mleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Wagonjwa wote waliokuja na Corona kutoka Tanzania hakuna hata mmoja anayeteswa au kutelekezwa huku, nyie hapo mumtese msafiri kisa anaumwa, na hamjapima kujua anaumwa nini.
Mambo kama haya husababisha uhusiano mbaya wenye visasi. Hii awamu ya sasa mumeishiwa kweli.
Acha kubadili picture
Taarifa inasema katelekezwa na wenzake (wakenya)

Na huenda wamemtelekeza baada ya kuona mwemzao keshakuwa mzigo na wakiendelea kuubeba watakuja na wao kukamatwa kwa kuingia nchini bila kibali

Ninyi ndio mnaoleta Corona Tanzania na hizo roho za kishetani ni wakenya mnazo
 
Nimeitazama video, nafikiri hadi hapo mtaacha ubishi wa kutusema kisa tunapima watu wengi, sasa mtaelewa kwanini tunapima wengi na kutangaza bila kuficha, maana tumejua tayari kirusi kiko mtaani, hivyo lazima tujaribu kila namna kukimbizana nacho.
Nyie hapo mnapima wachache ili muonekane hakipo sana, mtaweka picha ya kwamba Tanzania hamna kirusi na kusababisha watu waanze kukimbilia huko.
Sasa hivi wazungu wanatafuta nchi ambazo hazijaathirika zaidi wakajifiche huko.
LOL umeashahama mada

Tuhuma zako kwamba ni watanzania wamemtelekeza huyo Mkenya zimeishia wapi? 😅😅😅😅

Wakenya mna roho mbaya sana,mtanzania hawezi kumtelekeza mwenzake nchi ya ugenini hata siku moja.
 
Wanakimbia njaa Kenya
Magufuli alivyosema business as usual wakenya wakasema serikali yao ifunge mipaka yote na Tanzania sababu after short time watanzania tutaanza kufa kwa maelfu na kukimbilia Kenya

Surprisingly imekuja vice-versa, sio suala la kucheka lakini linachekesha.
 
Nimeitazama video, nafikiri hadi hapo mtaacha ubishi wa kutusema kisa tunapima watu wengi, sasa mtaelewa kwanini tunapima wengi na kutangaza bila kuficha, maana tumejua tayari kirusi kiko mtaani, hivyo lazima tujaribu kila namna kukimbizana nacho.
Nyie hapo mnapima wachache ili muonekane hakipo sana, mtaweka picha ya kwamba Tanzania hamna kirusi na kusababisha watu waanze kukimbilia huko.
Sasa hivi wazungu wanatafuta nchi ambazo hazijaathirika zaidi wakajifiche huko.
Umebadili gia angani sasa unaleta hoja nyingine usohishiwa hila dhidi ya Tanzania.
Ugonjwa upo ni hakika, Tanzania haijachukua hatua kama Kenya hivyo usijitape kwa lolote. Hatua zilizoweza chukuliwa zinaendelea na ikifika wakati na uwezo watachukua hatua zingine na uache kujipa usemaji watanzania kwa hisia zako zilizoambatana na jeuri kana kwamba huko kwenu hakuna tatizo au limeletwa na Tanzania
 
Cha muhimu hapa ni kutafuta hao waliomuacha mwenzao na wakipatikana wapigwe na kutupwa msituni

Wamekuja kusambaza Kwa makusudi

Wana hila sana hawa Wa Kenya na wanatamani hata watanzania wengi wapate madhara ndio maana kutwa kuchwa wanaleta viroja, sasa wameumbuka hapa wanabadili gia angani.
 
Wana hila sana hawa Wa Kenya na wanatamani hata watanzania wengi wapate madhara ndio maana kutwa kuchwa wanaleta viroja, sasa wameumbuka hapa wanabadili gia angani.
kwani Tanzania,,, kuna kipi cha maana?
 
Magufuli administration must pass appropriation to beef up security at the northern boarder. Illegal aliens from Kenya should be deported and required to apply for humanitarian asylum while situated in their home country. Applicants deemed to be economic refugees, along with those fleeing their Kenyan homelands in search of new lands should not be admitted, Tanzania is beyond full.
Fungeni kabisa only God can stop reggae, hizi chuki zenu baadhi ya wakenya mtajua hamjui, corona mlijiletea wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am made to believe Tanzanian media focus on Kenyan issues too much.
 
Sisi sio mafala.
Wakenya wenzake wamekimbia japo atakuwa kashawaambukiza
Hao wote siajabu wanaumwa walivyoona kazidiwa wakamshusha wakijua haponi tena, Kwa akili ya haraka wangekuwa wazima wasingemchukua maana hata Kwa kumuangalia tu anaumwa haijalishi anaumwa nini, japo mwenyewe kasema kifua kimem bana na mafua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom