Sasa huyu Corona kaipata wapi? mbona hafanani na Corona kabisa..Moderators naomba muipandishe juu hii picha wakenya wajionee.watu wao wanavotoroka nchi yao kutuletea ugonjwa huku kwetu.View attachment 1417593
Acha kubadili pictureMleta mada tuliza mihemko, kusanya taarifa kisha uzilete kama zilivyo, nyege za ligi ya Tz vs Ke zinakufanya utupie tupie vitu ambavyo hata wewe huonekani kuvielewa.
Huyo mnamtesa hapo mumegundua vipi anaumwa Corona, nyie watu mna roho za kishetani.
Wagonjwa wote waliokuja na Corona kutoka Tanzania hakuna hata mmoja anayeteswa au kutelekezwa huku, nyie hapo mumtese msafiri kisa anaumwa, na hamjapima kujua anaumwa nini.
Mambo kama haya husababisha uhusiano mbaya wenye visasi. Hii awamu ya sasa mumeishiwa kweli.
LOL umeashahama madaNimeitazama video, nafikiri hadi hapo mtaacha ubishi wa kutusema kisa tunapima watu wengi, sasa mtaelewa kwanini tunapima wengi na kutangaza bila kuficha, maana tumejua tayari kirusi kiko mtaani, hivyo lazima tujaribu kila namna kukimbizana nacho.
Nyie hapo mnapima wachache ili muonekane hakipo sana, mtaweka picha ya kwamba Tanzania hamna kirusi na kusababisha watu waanze kukimbilia huko.
Sasa hivi wazungu wanatafuta nchi ambazo hazijaathirika zaidi wakajifiche huko.
Umebadili gia angani sasa unaleta hoja nyingine usohishiwa hila dhidi ya Tanzania.Nimeitazama video, nafikiri hadi hapo mtaacha ubishi wa kutusema kisa tunapima watu wengi, sasa mtaelewa kwanini tunapima wengi na kutangaza bila kuficha, maana tumejua tayari kirusi kiko mtaani, hivyo lazima tujaribu kila namna kukimbizana nacho.
Nyie hapo mnapima wachache ili muonekane hakipo sana, mtaweka picha ya kwamba Tanzania hamna kirusi na kusababisha watu waanze kukimbilia huko.
Sasa hivi wazungu wanatafuta nchi ambazo hazijaathirika zaidi wakajifiche huko.
Cha muhimu hapa ni kutafuta hao waliomuacha mwenzao na wakipatikana wapigwe na kutupwa msituni
Wamekuja kusambaza Kwa makusudi
kwani Tanzania,,, kuna kipi cha maana?Wana hila sana hawa Wa Kenya na wanatamani hata watanzania wengi wapate madhara ndio maana kutwa kuchwa wanaleta viroja, sasa wameumbuka hapa wanabadili gia angani.
Kama hakipo kwanini mnateseka nako?kwani Tanzania,,, kuna kipi cha maana?
Wanatumwa hao si bureWakenya Kila siku wanakamatwa wakiingia Tanzania kwa njia za panya ajabu wanawekwa karantini wanalalamika hawana pesa wengine hawana nguo Sasa wanakuja kufanya nn
Fuata hili jibu lake huku Tanzania na Burundi msije mkashangaa majirani na hata watu kutokea Ulaya wakikimbilia kuja kwenye nchi yenu ya asali na maziwa - JamiiForumsCha muhimu hapa ni kutafuta hao waliomuacha mwenzao na wakipatikana wapigwe na kutupwa msituni
Wamekuja kusambaza Kwa makusudi
Acha kubadili picture
Taarifa inasema katelekezwa na wenzake (wakenya)
Na huenda wamemtelekeza baada ya kuona mwemzao keshakuwa mzigo na wakiendelea kuubeba watakuja na wao kukamatwa kwa kuingia nchini bila kibali
Ninyi ndio mnaoleta Corona Tanzania na hizo roho za kishetani ni wakenya mnazo
Fungeni kabisa only God can stop reggae, hizi chuki zenu baadhi ya wakenya mtajua hamjui, corona mlijiletea wenyeweMagufuli administration must pass appropriation to beef up security at the northern boarder. Illegal aliens from Kenya should be deported and required to apply for humanitarian asylum while situated in their home country. Applicants deemed to be economic refugees, along with those fleeing their Kenyan homelands in search of new lands should not be admitted, Tanzania is beyond full.
Kisa kimetokea kwenye ardhi ya Tz,I am made to believe Tanzanian media focus on Kenyan issues too much.
Jina lako lenyewe ni lafudhi ya Kenya. Sheng.Kisa kimetokea kwenye ardhi ya Tz,
Ulitaka iripotiwe na media zipi?
Akili fupi kama sabuni za lodge.
Hao wote siajabu wanaumwa walivyoona kazidiwa wakamshusha wakijua haponi tena, Kwa akili ya haraka wangekuwa wazima wasingemchukua maana hata Kwa kumuangalia tu anaumwa haijalishi anaumwa nini, japo mwenyewe kasema kifua kimem bana na mafuaSisi sio mafala.
Wakenya wenzake wamekimbia japo atakuwa kashawaambukiza
Waulize hao jamaa zenu wanaovuka mipaka kila sikukwani Tanzania,,, kuna kipi cha maana?