Mkenya amaliza ubishi kati ya Kenya vs Tanzania

Mkenya amaliza ubishi kati ya Kenya vs Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Majirani wetu wa Kenya, ni matumaini yangu kwamba huyu Dada amemaliza ubishi kati yetu, Yale yote aliyoyaandika yule mwanahabari wa Kenya aliyetembelea Tanzania, huyu Dada ameyathibitisha.

Mliokua mnasema kwamba aliongeza sifa nyingi, wengine wakasema sio mkenya ni mtanzania, vipi kuhusu huyu dada?. Kuhusu barabara kati ya Kenya na Tanzania, mshindi amepatikana "By unanimous decision".

 
Wacha upotovu wewe, umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale, Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
 
Wacha upotovu wewe , umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam ? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale ,Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
Kweli tumeziona !! Kojitonyama hii hapa. Wakenya mnadanganyana Hugo MK254 anakudanganyeni





Sent using Jamii Forums mobile app
 
embu na ww MK254 tuonyeshe barabara toka eldoret kwenda northern counties ...hapo ndio tutakuamini...maana huyu dada hapo youtuber mwenyewe amekuthibitishia tokea ameingia namanga all the way to southern highland of our beautiful country mtoto katembea juu ya tarmac road with a full of road sign board ..
 
embu na ww MK254 tuonyeshe barabara toka eldoret kwenda northern counties ...hapo ndio tutakuamini...maana huyu dada hapo youtuber mwenyewe amekuthibitishia tokea ameingia namanga all the way to southern highland of our beautiful country mtoto katembea juu ya tarmac road with a full of road sign board ..
Hawawezi kuelewa.
 
Huyu Dada ametumia barabara tofauti na yule mkenya aliyetembelea rafiki yake Dar. Huyu dada alipofika Arusha, alielekea kulia ili apitie "Central" Tanzania- Babati, Singida, Dodoma, Iringa, Mbeya, hizo ni zaidi ya 1800Km, hajakutana na vumbi wa shimo barabarani.

Yule mkenya mwengine alipitia "Eastern" Tanzania,- Arusha, Moshi, Segera, Chalinze, hadi Dar. Aliporudi alipitia, Bagamoyo, Msata, Segera, Tanga, Horohoro, 1500km bila kugusa vumbi wala shimo lolote.

Kwa ujumla hawa wakenya wawili wametembea jumla ya 2300Km za lami bila kuona shimo hata moja. Hapo ni kama 10% ya barabara za lami Tanzania.
 
Leo mmekubali tatizo mmesahau kuwa waziri wa ujenzi alikuwa magufuli kabla ya kuwa raisi tena jina LA Bulldozer analo toka zamani
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Kenya hoyeeeeeeee. Tupo pamoja jirani.
Kuna kitu kinaitwa 'sarcasm' kwa kiingereza, ila naelewa kwamba nyinyi ni vijana wa St. Kayumba kwahivyo sitafafanua zaidi. 😎
 
Remember Tanzania has a smaller Economy than Guatemala
 
Wacha upotovu wewe , umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam ? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale ,Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
Kwenye suala la usafi wa barabara Kenya ni chafu na udongo wenu ndio balaa tupu

Cheki hii video inaonesha hali ya usafi wa barabara za zaidi ya 50% ya Dar ulinganishe na Nairobi



#RIPKIBONDE
 
Huwa nahisi labda watu wanafikiri Barabara za nairobi ndo zinawakilisha Kenya nzima.

Ukweli ni kuwa, kwa miundombinu ya barabara, Nairobi ni zaidi ya Dar... ila ikija kwa nchi nzima, Tanzania ina barabara nzuri sana hizi za Highway.

In short ni kuwa, Tanzania kipaumbele chake ni kuunganisha mikoa yote na barabara... later on Kuungaisha wilaya zote... Barabara za mijini sio kipaumbele kikuu kwa sasa (ukiacha miradi inayoendelea sasa).. hii utaiona pia kwenye Budget kati ya TANROADS na TARURA.. the former ana budget kubwa sana.

So ubishi hauna maana.. after all wote sisi lengo letu moja..
 
Remember Tanzania has a smaller Economy than Guatemala
Kitu ambacho Wakenya hamjui ni kwamba Rais wa sasa wa Tanzania amekua maarufu na alichagulia kuwa Rais sababu ya sifa moja tu just one reputation nayo sio nyingine bali ni ujenzi wa barabara

Kwa hiyo umaarufu wa JPM ni barabara za Tanzania pamoja na miundombinu mingine so don't expect them to be cheap like your corrupted country, so far Tanzania ilishawapita Kenya kwa kilometres za barabara 2015.

Pain fact take it or leave it.
 
Remember Tanzania has a smaller Economy than Guatemala

Aha haaa
Listen bro, big portion of our economy and Afrika at large is not well documented. Because we have a lot of unregistered businesses or enterprises and huge number of unrecorded transactions. This is one of salient features that makes the Afrika's GDP to look minimal.
😁😂🤣
 
Kuhusu barabara tz utaipenda na kwa sasa dar naona hadi mafichoni huku ukonga ni lami tu ila kuna mikeka hii inchi hadi balaa kusingekuwa na wachawi ingekuwa pride of africa ila wachawi sasa!
 
Back
Top Bottom