joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Majirani wetu wa Kenya, ni matumaini yangu kwamba huyu Dada amemaliza ubishi kati yetu, Yale yote aliyoyaandika yule mwanahabari wa Kenya aliyetembelea Tanzania, huyu Dada ameyathibitisha.
Mliokua mnasema kwamba aliongeza sifa nyingi, wengine wakasema sio mkenya ni mtanzania, vipi kuhusu huyu dada?. Kuhusu barabara kati ya Kenya na Tanzania, mshindi amepatikana "By unanimous decision".