joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kweli tumeziona !! Kojitonyama hii hapa. Wakenya mnadanganyana Hugo MK254 anakudanganyeniWacha upotovu wewe , umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam ? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale ,Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
Wacha upotovu wewe , umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam ? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale ,Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
Hawawezi kuelewa.embu na ww MK254 tuonyeshe barabara toka eldoret kwenda northern counties ...hapo ndio tutakuamini...maana huyu dada hapo youtuber mwenyewe amekuthibitishia tokea ameingia namanga all the way to southern highland of our beautiful country mtoto katembea juu ya tarmac road with a full of road sign board ..
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Kenya hoyeeeeeeee. Tupo pamoja jirani.Ni habari njema, ubishi umeisha. Kwahivyo sasa mleta mada atakoma kukesha humu kwenye jukwaa la Kenya akimwaga povu hadi usiku wa mbwa, vibaka na polisi.
Leo mmekubali tatizo mmesahau kuwa waziri wa ujenzi alikuwa magufuli kabla ya kuwa raisi tena jina LA Bulldozer analo toka zamaniNi habari njema, ubishi umeisha. Kwahivyo sasa mleta mada atakoma kukesha humu kwenye jukwaa la Kenya akimwaga povu hadi usiku wa mbwa, vibaka na polisi.
Leo mmekubali tatizo mmesahau kuwa waziri wa ujenzi alikuwa magufuli kabla ya kuwa raisi tena jina LA Bulldozer analo toka zamani
Kuna kitu kinaitwa 'sarcasm' kwa kiingereza, ila naelewa kwamba nyinyi ni vijana wa St. Kayumba kwahivyo sitafafanua zaidi. πHahahaha, hahahaha, hahahaha. Kenya hoyeeeeeeee. Tupo pamoja jirani.
Hahahaha, kuna kitu kinaitwa "Soft landing", ila kwasababu uwezo wenu wa akili ni mdogo, sina uhakika kama mtaelewa.Kuna kitu kinaitwa 'sarcasm' kwa kiingereza, ila naelewa kwamba nyinyi ni vijana wa St. Kayumba kwahivyo sitafafanua zaidi. π
Kwenye suala la usafi wa barabara Kenya ni chafu na udongo wenu ndio balaa tupuWacha upotovu wewe , umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam ? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale ,Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
Kitu ambacho Wakenya hamjui ni kwamba Rais wa sasa wa Tanzania amekua maarufu na alichagulia kuwa Rais sababu ya sifa moja tu just one reputation nayo sio nyingine bali ni ujenzi wa barabaraRemember Tanzania has a smaller Economy than Guatemala
Remember Tanzania has a smaller Economy than Guatemala