Mkenya amaliza ubishi kati ya Kenya vs Tanzania


Upo sahihi kabisa.. suala ni upya wa Barabara. Za TZ nyingi ni mpya, na nafikiri pia hata zile za zamani huwa zinaangaliwa sana.. marekebisho na matengenezo mara kwa mara..
 
Toka kahama kwenda burundi au rwanda ndiyo utajua ubovu wa barabara za tanzania.Toka tabora mpaka mpanda utajuta kuzaliwa
Hizo barabara nipite mwezi wa 5 mchina yupo mzigoni
 
Ukiichukia serikali basi usitumie huduma Zozote zinazotelewa na serikali ikiwezekana hama kabisa na nchi.

Acha upumbavu!

Niache kutumia huduma wakati ni kodi zangu?!!

Wehu nyie nini!

Na hakuna kitu natumia bure nchi hii!

Hakuna huduma yoyote ya serikali inatoka bure by any means whatsoever!

Kila kitu ni paid off by our taxes na nyie vima tunawachukia all the way through!

This serikali can go to hell!

Naichukia kwa the same kiwango unayoipenda wewe!
 
Inatia moyo sana, kuona siku za hivi karibuni kumetokea watu toka nchi jirani ambao uzalendo umewashinda na kuamua kusema yale toka moyoni juu ya maendeleo wanayooona TZ.

1: Dada aliyesafiri kwa barabara toka KE to SA na kujionea uzuri na ubora wa barabara za TZ.

2: Yule mzee Kule Kisumu aliyesema ni bora tu KE waige style ya kuleta maendeleo ya TZ.

Having said that, naomba jirani zetu tuache kuwasakama watu hao walioamua kutoa ukweli kutoka mioyoni mwao.

@Jenerosa Mzalendo etal, punguza kidogo jazba.
 
Nitaendea kukusisitiza quote ile
 

Aha haaa
But the hate can change nothing as to the moment you have done nothing to effect the change.
Baki na kujificha kwenye tanakilishi.
 
I drove from Dar to Nairobi via Namanga in 2014, both parts of the road were complete, Arusha to Namanga, and Namanga to Nairobi, stop your denial. The fact is, the quality of your roads is very bad.

The road from Dar to Tanga was constructed during Ali Hassan Mwingi regime, from 1985 to 1995, but is very goods with all paints and marks, better than Namanga to Nairobi.
 
Huyo mwana dada alisema hio barabara ya upande wa Tz ni nzuri kuliko ya upande wa Kenya kwasababu iko na clear painting na road signs...... Hakusema barabara ya Kenya ni mbaya! Big difference! Ni kama vile nipande ndege ya drimulaina ya Egypt alafu niseme hio ya Egypt ni nzuri kuliko ya Kq, haimanishi kwamba ya Kq ni mbaya!


Angalia hii video ni ya 2014, inaonyesha condition ya Upande wa Kenya, Tunakujua wewe ni muongo na utasema lolote ili ushinde mjadala, hata nikikwambia barabara ya Kwetu iliojengwa mwaka jana ni nzuri kuliko barabara nyingi hapa Kenya, utatunga story na kusema ulitembelea Kenya juzi na ulipitia kwa hio barabara na "haukufurahishwa"




Mwezi wa Mei nilisafiri na gari Kutoka Hadi Busia karibu na Uganda, Hio barabara ilikua safi sana

 
Hivi wewe unamatatizo gani?, zaidi ya wakenya watatu waliotembelea Tanzania wametoa ushahidi kuhusu barabara za Kenya na Tanzania, Yule aliyetembelea Dar, alisema amepita zaidi ya 1500km upande wa Tanzania, huyu Dada amesafiri zaidi ya 1800Km upande wa Tanzani, jumla hawa wameona zaidi ya 3000km, wote wanazungumza lugha moja, vipi wewe unataka kipande cha Namanga to Arusha pekee kutaka kuwakosoa kwa alichoona?.
 
fine ila all in all lazima tuelewe wana Jumuiya ya Kuwa izi barabara ni kwa ajili yetu SISI wana jumuiya ..coz zina rahisisha usafiri na kuwa mwepesi na wa haraka zaidi therefore kumaliza hii debate ni kheri tuwapigie makofi viongozi wetu coz wana tambua umuhimu wa connectivity ..huyu dada kama angesafiri toka nairobi to mbeya kama kusingekuwepo na tarmac road nafikiri hata namanga asingefika lkn ametambua ya kuwa kuna tarmac road from kenya to south africa ndio akaamua kuwasha ndinga yake
 
Aha haaa
But the hate can change nothing as to the moment you have done nothing to effect the change.
Baki na kujificha kwenye tanakilishi.

Hate cant change nothing!

Also your Love cant change nothing too!

Atleast katika kupiga kura we can tick where our hate and love lies!

And kura sio effect?

Galakabao!
 
Nilimpa Ushahuri huyo jamaa aache kutumia huduma za serikali na ahame nchi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huduma hapewi kama msaada, kila bidhaa anunuayo iko taxed, kila biashara afanyayo/mshahara anaopokea kuna kodi hivyo hakuna justification kwenye kumwambia asitumie hizo barabara au services zozote zile.
Kupenda au kukichukia kitu ni hiyari ya mtu, binadamu wenye fikra huru ni kawaida kutofautiana maoni na mitazamo hivyo si akili hata kidogo kumlazimisha mtu awe na mitazamo sawa na ya kwako.
Ujengwaji wa miundo mbinu hakuna hata kiongozi mmoja anayetoa pesa zake binafsi katika hilo tena ni bora mashirika ya 'mabeberu' yakasema na kunanga watumiaji wa barabara(hii ni kwa zile zilizojengwa kwa pesa za misaada) kuwa kila wapitapo wajue ni hela ya Beberu iliyowawezesha.
Kila raia awe huru ku'support au kupinga kadri aonavyo inastahili.
 
Wacha upotovu wewe , umeziona barabara mbovu za Dar es Salaam ? Pale hakupitiki ukianza kuingia Tandale ,Kurasini na Kijitonyama? Dar CBD too has worn out roads na uchafu.
Hv ww unaijua kijitonyama ama waropoka !!!!?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…