MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Bara bara ya Kutoka Namanga kuja Nairobi ilikamilika 2013, wakati bara bara iliojengwa upya ya kutoka Namanga kwenda Arusha ilikamilika 2017...
Kama angesafiri na kupitia border ya Tavetaangekua na maoni tofauti manake bara bara ya Taveta hadi voi ni mpya upande wa Kenya ilihali upande wa Tanzania bado haijakamilika hadi hapo holili kwahivyo upande wa Tz bado bara bara ya kitambo.
Ni kama vile muEthiopia asafiri kutoka Addis hadi Nairobi, atabaki akisifia Kenya kwa kua na bara bara nzuri, hatakua anajua bara bara ya upande wa Kenya ilimalizwa juzi juzi wakati ya Ethioipia ni ya kitambo, kama angefanya hio trip miaka michache iliopita, ya Ethiopia ndo ingekua nzuri kuliko ya Kenya..
Nairobi to Moyale border 800km
Upande wa Kenya VS upande wa Ethiopia hapo Kenya-Ethiopia Border, Hata unaona Upande wa Kenya huko kwenye hilo jengo bado bara bara nyeusi haijashika vumbi
![]()
Bara bara yenyewe
![]()
![]()
Lapsset team
![]()
![]()
![]()
![]()
Upo sahihi kabisa.. suala ni upya wa Barabara. Za TZ nyingi ni mpya, na nafikiri pia hata zile za zamani huwa zinaangaliwa sana.. marekebisho na matengenezo mara kwa mara..