Mkenya amaliza ubishi kati ya Kenya vs Tanzania

Toka kahama kwenda burundi au rwanda ndiyo utajua ubovu wa barabara za tanzania.Toka tabora mpaka mpanda utajuta kuzaliwa
Tabora mpanda.. mpanda sumbawanga, ndio eneo pekee Tanzania lilikua halija unganishwa na lami miaka mitatu nyuma, by the time napita, lami kutoka sumbawanga kuja mpanda ilikua tayar iko mpanda, karibu kabisa na mjini.. na lami kutoka tabora kwenda mpanda ndio walikua wanachimba barabara sikonge huko, nadhan maendeleo n mazuri.. kama hawajakamilisha basi wako eneo nzuri
 
Vp kuhusu mkenya mwenzenu kulalamika roads zina mashimo mingi za huko kwenu bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…