Huyo mwana dada alisema hio barabara ya upande wa Tz ni nzuri kuliko ya upande wa Kenya kwasababu iko na clear painting na road signs...... Hakusema barabara ya Kenya ni mbaya! Big difference! Ni kama vile nipande ndege ya drimulaina ya Egypt alafu niseme hio ya Egypt ni nzuri kuliko ya Kq, haimanishi kwamba ya Kq ni mbaya!
Angalia hii video ni ya 2014, inaonyesha condition ya Upande wa Kenya, Tunakujua wewe ni muongo na utasema lolote ili ushinde mjadala, hata nikikwambia barabara ya Kwetu iliojengwa mwaka jana ni nzuri kuliko barabara nyingi hapa Kenya, utatunga story na kusema ulitembelea Kenya juzi na ulipitia kwa hio barabara na "haukufurahishwa"
Mwezi wa Mei nilisafiri na gari Kutoka Hadi Busia karibu na Uganda, Hio barabara ilikua safi sana