Quickly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,056
- 649
Aiii hii aibu ya karne. Yaani washirika saba tu kwenye michezo 3 pekee. Naona hapa itabidi tubuni jopo la kuwasadia majirani zetu, angalau wapate uwakilishi kwenye table tennis.hii hapa timu ya TZ kule Rio hahaha Tanzania at the 2016 Summer Olympics - Wikipedia, the free encyclopedia