Quickly JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 1,056 Reaction score 649 Aug 12, 2016 #61 El Capitan said: hii hapa timu ya TZ kule Rio hahaha Tanzania at the 2016 Summer Olympics - Wikipedia, the free encyclopedia Click to expand... Aiii hii aibu ya karne. Yaani washirika saba tu kwenye michezo 3 pekee. Naona hapa itabidi tubuni jopo la kuwasadia majirani zetu, angalau wapate uwakilishi kwenye table tennis.
El Capitan said: hii hapa timu ya TZ kule Rio hahaha Tanzania at the 2016 Summer Olympics - Wikipedia, the free encyclopedia Click to expand... Aiii hii aibu ya karne. Yaani washirika saba tu kwenye michezo 3 pekee. Naona hapa itabidi tubuni jopo la kuwasadia majirani zetu, angalau wapate uwakilishi kwenye table tennis.