Mkenya anyukwa viboko na mchina

In as much as I condemn violence, on this occasion I support the beating...how and why on earth would a grown ass creature submit yourself to your employer this much?? Wee bwege nini 😂😂
Nikimpata pia mimi namuongeza zangu saba vile hadi akili zimrudie!
 
Wakenya kwa watu weupe ndivyo mlivyo, ninyi ni hovyo kabisa. "Kenya not yet Uhuru".
 
Wakenya kwa watu weupe ndivyo mlivyo, ninyi ni hovyo kabisa. "Kenya not yet Uhuru".
Kwa unafiki hamjambo. Tukio mbaya ata zaidi kuliko hili lilitendeka Tz, kwani Askari wenu walikuwa wakishirikiana na WACHINA hawa kuwadhulumu waTz wenzako.
Waafrika bado sana. Usilete ligi kwa hili.

Tazama na hii nyingine.

Kupigwa na polisi ni kawaida Africa..Lakini kutandikwa viboko na mhamiaji kutoka china ni aibu sana kwa mwafrika huru
 
Tazama na hii nyingine
Kupigwa na polisi ni kawaida Africa..Lakini kutandikwa viboko na mhamiaji kutoka china ni aibu sana kwa mwafrika huru
Mkuu, Tazama video Kwanza. Hawa watz waliamrishwa na Askari kulawitiana kutoka kwa maagizo ya WACHINA...
Walinyolewa kwa msumeno na hizo nywele kuwekwa sehemu za nyuma kutumia vijiti.
Hii yote MCHINA anatazama akiwapa hao Maaskari maagizo!
 
Mleta mada endelea kunitajataja, naona una mahaba nami. Tia bidii na labda kabla ya mwaka wa 2020 kuisha nitatimiza ndoto yako ya kubeba mimba yangu. Vipi kuhusu mamia ya nyumba za wamaasai ambazo serikali ya Tz ilizitia moto ili kuwapa waarabu nafasi ya kuwinda wanyama wa pori?
 
Kwa unafiki hamjambo. Tukio mbaya ata zaidi kuliko hili lilitendeka Tz, kwani Askari wenu walikuwa wakishirikiana na WACHINA hawa kuwadhulumu waTz wenzako.
Waafrika bado sana. Usilete ligi kwa hili.

Tazama na hii nyingine.

Hizi ni tuhuma hakuna mwenye kujua ukweli kwasababu wanaotuhumiwa wamekanusha, lakini hata kama imetokea hayo matendo yametokea faragha sio hadharani, pia kama ni kweli basi jambo hili limefanywa na polisi sio wachina, hiyo tunaita ni "Police brutality" ambayo Kenya inaongoza Africa katika Police brutality
 
Wala usibadilishe gear! Unataka kutorokea kwa POLICE BRUTALITY? Hahaa.. Nilijua hutakosa kuleta pumba!
Vijana hawa walikuwa watuhumiwa ni sawa nitakubaliana nawe, but is this how your police treat suspects?
Kutumika na WACHINA kuwadhulumu watu weusi kama wao hadi kuwaamrisha kulawitiana? Upuzi kama huu ukifanyika pahali popote Afrika inaniuma!Black people let's wake up!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…