Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Wala silaani. Ningelaani endapo ningeona muhusika anapinga hicho kitendo lakini anafanyiwa kwa nguvu. Naishia tu kusema ni maisha aliyoamua mwenyewe, anaburudishwa na bakora kama tu mimi ninavyoburudishwa na mvinyo mwekundu[emoji485].
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app