Mkenya anyukwa viboko na mchina

Mkenya anyukwa viboko na mchina

Wachina ni wadhalilishaji sana sio Kenya tu hata Tz huko migodini I wish mngeyaona yanayo tendeka huko ni vile tu wanazuia camera huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tukio watalizungusha dunia nzima na kuwadhiirishia ulimwengu kuwa limetokea Kenya na sii Tanzania ili kukuza utalii wa Kenya
 
kiukweli wakenya wametuacha mbali sana kwa ubwege kimaisha, hongera wakenya, na MUNGU ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika isipokuwa vilaza wa Kenya
Kwani nyinyi mumetushinda kiuchumi au hata kimasomo? Wacha kuota mchama mzee.
 
Mtanzania mwenzangu yoyote anayechekelea huu upuuzi kisa umemtoka mkenya basi ni mpumbavu. Huu ni ubaguzi dhidi ya watu weusi na nimeshindwa kuona jambo lolote la kufurahisha hapo. Halafu hutasikia haki za binadamu wa kiafrika wakiongelea hili.
Hao haki za binaadamu utawasikia wanapiga kelele na kuripoti BBC yakiguswa maslahi ya Mzungu...sijui tumelongwa na nani sisi weusi.
 
Mbona huyo mchapwaji mwenyewe kama anafurahia?

Au sababu kichapo kinatoka kwa mweupe?
 
Wala usibadilishe gear! Unataka kutorokea kwa POLICE BRUTALITY? Hahaa.. Nilijua hutakosa kuleta pumba!
Vijana hawa walikuwa watuhumiwa ni sawa nitakubaliana nawe, but is this how your police treat suspects?
Kutumika na WACHINA kuwadhulumu watu weusi kama wao hadi kuwaamrisha kulawitiana? Upuzi kama huu ukifanyika pahali popote Afrika inaniuma!Black people let's wake up!!!
Sasa mbona unatoa hukumu wakati polisi walikanusha kufanya hicho kitendo na kesi ilipelekwa mahakamani?, hakuna mwenye uhakika kwasababu hizi ni shutuma hatujaona video kama ilivyo katika hili la Kenya.
Lakini hata kama itathibitika kama ni kweli, hilo litakua ni kosa la polisi wa Tanzania kuwanyanyasa watanzania, tofauti na mchina kumpiga viboko mkenya, baba zima halijazidiwa nguvu na huyo mchina, kwa hiari yake limekubali kuchapwa, ninyi wakenya ni hovyo sana
 
Halafu ni kama hiyo kuchapwa ni utaratibu wa kila wanapo chelewa 😂😂😂
 
Subiri Trump akiona huu mtelemko atashuka April na mkataba wake na mijeledi juu.
 
Polisi wa Kenya ndio wanaongoza Afrika nzima kwa kuwapiga risasi na kuuwa raia wao, kwa kila mtanzania mmoja anayeuliwa na polisi,kuna wakenya 30 waliouliwa na polisi, unalijua hilo?
Na mfadhili wao wa demonkrashia marikani, huko weusi wanaongza kwa kupigwa risasi na polisi.
 
Kwani nyinyi mumetushinda kiuchumi au hata kimasomo? Wacha kuota mchama mzee.
hapana hatujawazidi hata wachina wapo wengi kenya hilo pia hongereni sana na MUNGU awabariki waongezeke zaidi wazaane waweze kuinua uchumi wa kenya,
 
Tumwa kwao. Kenya si ya mama yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
FB_IMG_15812455424785163.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom