Mkenya apigwa miaka 2800 Kisutu,ni baada ya kuleta ujanja ujanja

Mkenya apigwa miaka 2800 Kisutu,ni baada ya kuleta ujanja ujanja

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mkenya mmoja kwa jina la Murithi amepigwa nyundo (miaka) 2800 baada ya kukutwa na makosa 400 ya utakatishaji wa fedha katika mahakama ya Kisutu.
Nyang'au kama unakuja Bongo kutafuta hela njoo ila uwe unafanya kitu legit maana huku sio sehemu salama kwa mambo yenu ya ajabu ajabu (muulizeni mhindi Sethi),Bongo hatuna tatizo hata kuiweka kaunti moja yote ndani kama mkionekana mnafanya vitu vya ovyo.
Habari zaidi zinafuata wakuu
 
Hivi hiyo miaka kwa mfano akaendelea kuwepo kuishi tuu ina maana atashikiliwa tuu au hua wanahukumu tuu
 
Mkenya mmoja kwa jina la Murithi amepigwa nyundo (miaka) 2800 baada ya kukutwa na makosa 400 ya utakatishaji wa fedha katika mahakama ya Kisutu.
Nyang'au kama unakuja Bongo kutafuta hela njoo ila uwe unafanya kitu legit maana huku sio sehemu salama kwa mambo yenu ya ajabu ajabu (muulizeni mhindi Sethi),Bongo hatuna tatizo hata kuiweka kaunti moja yote ndani kama mkionekana mnafanya vitu vya ovyo.
Habari zaidi zinafuata wakuu
Kama adhabu zote zinaenda pamoja itakuwa miaka 7?
 
Yaani hiyo miaka 2800
Akifa yeye atakuja mwanaye atafungwa atakuja mjukuu atafungwa na kitukuu atafungwa kilembwe atafungwa mpaka 2800 miaka itimie.

Chezea wabongo wewe, siyo watu kabisa.

[emoji4]
 
MAKOSA yote ninaamini atatumikia vifungo kwa pamoja hivyo atatumikia miaka 7 plus kama ni flat rate ila kama kuna kosa lina say 15 years kati ya hayo 400 basi jua atatumikia miaka 7 plus (wanahesabu mchana na usiku at 3/8 ya MASAA 24 ).
 
Back
Top Bottom