Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

Lini umewahi kuskia Kenya inanyan'ganywa mindege kama namna huwatendekea kila mkishndwa kulipa madeni ya watu, sasa mumejiongeza madeni kibao na mpaka leo hamna mlichosimamisha kikaonekana, SGR iliyokua ianze kutumika 2019 kasafu kadogo tu Dar-Moro mpaka leo mnachimba chimba, wazembe sana nyie.
Huwezi kula ugali na sakumawiki afu ukawa na akili, kukamata ndege haikusabishwa na nchi kukosa pesa, hii ilitokana na vikesi uchwara vilivyoendeshwa kinyemela, lakini baadae kesi ilizungumzwa mambo yakaisha.
 
Standard gauge tunayotengeneza siyo sawasawa na hiyo barabara yenu ya kokoto mliyojenga humo, njoo muone kazi inavyoenda vizuri,ikikamilika itabidi tuwaite maraisi wa Afrika waje wajifunze kwa vitendo utekelezaji wa miradi mikubwa.
 
Wakenya balaa sana, elimu yetu bora inatupeleka mbali, niko huku Sudan Kusini yaani hamna kampuni yoyote ya maana isiyokua na Wakenya kwenye uongozi, kawaida yangu nimezoea nikisafiri kwenye nchi yoyote nikutane na Mkenya huwa lazima tuchangamkiane, ila huku nimejkuta naona kawaida tu, maana wapo wameshikilia nyadhifa nyingi za maana.

Sema kidogo sijawa na furaha kuona wahandisi/engineers wetu wengi wako huku, jameni natumai nyumbani wameachwa wa kutosha. Ujenzi wa barabara na majengo na miundo mbinu ya kila aina Wakenya wanahusika pakubwa, hili taifa tunalijenga bati kwa bati tofali kwa tofali.
Unakuta kwenye ndege abiria 70% wote Wakenya, stori za Kikenya kote kote.
Mainjinia wa Kenya kazi zao ndio hizi. Zaidi ya Kiingereza kikubwa, hakuna kitu kingine kichwa ya mkenya inaweza elewa.
JamiiForums-1746353782_680x362.jpg
 
Huwezi kula ugali na sakumawiki afu ukawa na akili, kukamata ndege haikusabishwa na nchi kukosa pesa, hii ilitokana na vikesi uchwara vilivyoendeshwa kinyemela, lakini baadae kesi ilizungumzwa mambo yakaisha.

Umeamka vibaya mpaka umeniquote mara tatu, pole ila mjilaumu wenyewe kwa elmu yenu kuwa duni, tutaendelea kuwashinda kwa kila kitu mpaka muombe po.
 
Wakenya balaa sana, elimu yetu bora inatupeleka mbali, niko huku Sudan Kusini yaani hamna kampuni yoyote ya maana isiyokua na Wakenya kwenye uongozi, kawaida yangu nimezoea nikisafiri kwenye nchi yoyote nikutane na Mkenya huwa lazima tuchangamkiane, ila huku nimejkuta naona kawaida tu, maana wapo wameshikilia nyadhifa nyingi za maana.

Not in Tanzania though.

That is South Sudan, a young and stunted banana republic.

Those Kenyan engineers, waiters, bus boys and coorporate executives were kicked out of Tanzania when self- respecting leadership took charge in 2015.
 
Respecting leadership indeed imposed by chama cha madudu,

Inchi imetulia kama maji ya mtungi sababu mama suluhu on ze steering.
Wazenji must be enjoying ze limelight.
 
Yes,Zanzibarians must enjoy this time the same way as Somalis are enjoying Nairobi.
 
Elimu ya Kenya mpaka muifikie labda vitukuu vyenu....hehehe
Elimu hii hii ambayo wauguzi wa afya wamefeli mtihani wa kiingereza zaidi ya asilimia 90 kupata kazi United kingdom? [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom