pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Dah! πππ Nilijua tu utasema kitu kama hicho mkuu, amini nikikuambia kwamba sina ubaya mjomba wangu. Jumatatu huwa haifanani na jumanne, tuko pamoja kama kawa.siku hizi naona umeanza kuwa kiboga...... unaharibika kadiri unavyokua.
Kama ni la mitume sawa ... ila mimi najua kanisa la Kikristo ndo la kweli - mbwembwe zingine nitolee."Penye watawa pana furaha...
Penye furaha kuna watawa..."
View attachment 1054261
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Pierre Liquid mlevi wa TaifaPongezi kwake....
Ila kama angeshinda mtanzania unafikiri angepewa coverage
Hku tunataka waskia wakina Daktari shika,Pierre liquid,sjui msabwanda mkubwa etc
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππmisambwanda tena?Pongezi kwake....
Ila kama angeshinda mtanzania unafikiri angepewa coverage
Hku tunataka waskia wakina Daktari shika,Pierre liquid,sjui msabwanda mkubwa etc
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabruda weka mbali na watoto!Ni jambo la kutia moyo kwa Mwalimu Peter Tabichi kutoka Kenya aliyeshinda tuzo ya global teacher award a.k.a mwalimu mahiri wa dunia kwa mwaka huu 2019. Sifa kuu kati ya nyingi zilizompa heshima hii ni kutoa 80% ya mshahara wake kusaidia watoto/wanafunzi wanaotoka mazingira magumu. Pia ni Bruda wa kanisa Katoliki huko Kenya. Tumpongeze. Ameiwakilisha vyema Afrika. Je walimu wa Tanzania wana la kujifunza kwa Mwalimu Peter Tabichi?
Ni jambo la kutia moyo kwa Mwalimu Peter Tabichi kutoka Kenya aliyeshinda tuzo ya global teacher award a.k.a mwalimu mahiri wa dunia kwa mwaka huu 2019. Sifa kuu kati ya nyingi zilizompa heshima hii ni kutoa 80% ya mshahara wake kusaidia watoto/wanafunzi wanaotoka mazingira magumu. Pia ni Bruda wa kanisa Katoliki huko Kenya. Tumpongeze. Ameiwakilisha vyema Afrika. Je walimu wa Tanzania wana la kujifunza kwa Mwalimu Peter Tabichi?
Sijashawishi walimu wa Tanzania watoe huo mshahara wao uliosema ni mdogo na mambo mengine uliyoeleza hapo. Nimewauliza kama kuna la kujifunza hapo. Haswa kujitoa. Yeyote mwenye moyo wa kujitoa hata kama anapokea mshahara mdogo kiasi gani atatoa tuSasa mtoa mada unashawishi na walimu wa Tanzania waige mfano wa huyo Bruda kutoa hiyo 80% kwenye mshahara upi? Huu huu wa laki nne na nusu hapo ukiwa hujakopa ili upate hata kakibanda ka kujisitiri? Bado unalipishwa kodi "paye" iliyokwenda shule, achana na makato mengine yaliyojaa kwenye salary slip!
Je, pia unafahamu maana ya Bruda ni mtawa wa kiume wa kanisa la Katoliki? Huyo hana cha kupoteza maana haruhusiwi kuwa na familia yake, maisha yake ni utawani, anakula chakula kizuri na kulala mahali pazuri tena pasipo kulipia chochote! Isitoshe huyo bruda yupo kiimani zaidi(akiamini ktk utakatifu)!
Kwanini ushawishi walimu ambao hadi muda huu stahiki zao za kupandishwa madaraja, kuongezewa mishahara, kulipwa hela ao za likizo, nk. wafe njaa kwa kumuiga tu mtawa wa Kenya ambaye anafanya pia kazi ya ualimu kwa ziada! Mtoa mada una huruma kweli dhidi ya hawa walimu wanyonge wa nchi hii?
Poshy qeen sjui Sanchokaππππππmisambwanda tena?
Sijashawishi walimu wa Tanzania watoe huo mshahara wao uliosema ni mdogo na mambo mengine uliyoeleza hapo. Nimewauliza kama kuna la kujifunza hapo. Haswa kujitoa. Yeyote mwenye moyo wa kujitoa hata kama anapokea mshahara mdogo kiasi gani atatoa tu
Nakubaliana na wewe,Kutoa ni moyo,usambe..... Hata kama tungepata mamilioni,kama MTU huna moyo wa utoaji haitoshi.Sijashawishi walimu wa Tanzania watoe huo mshahara wao uliosema ni mdogo na mambo mengine uliyoeleza hapo. Nimewauliza kama kuna la kujifunza hapo. Haswa kujitoa. Yeyote mwenye moyo wa kujitoa hata kama anapokea mshahara mdogo kiasi gani atatoa tu
Wewe ushatoa nini ili uwaoneshe mfano walimu wa kujitolea kwa ajili ya "Taifa hili Changa?"Sijashawishi walimu wa Tanzania watoe huo mshahara wao uliosema ni mdogo na mambo mengine uliyoeleza hapo. Nimewauliza kama kuna la kujifunza hapo. Haswa kujitoa. Yeyote mwenye moyo wa kujitoa hata kama anapokea mshahara mdogo kiasi gani atatoa tu