Rumi96
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 818
- 1,975
Umemaliza vibaya aya ya mwisho, ungejua Waalimu walivyotusaidia sisi watoto yatima! Usingesema hivo. Mwaka 2011 kuna mwalimu alinichongea kiti na meza kwa hela yake, na mambo madogo madogo. Wapo wengi tu TZ wanasaidia. Mungu awabariki wote waliosaidia mimi kufika elimu ya juu.