Mkenya awa Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo ya mwalimu bora duniani

Wacha wivu za peni mbili. Huoni Kiingereza chenyewe ni kisafi kama cha Kenya? Au Watanzania pia wanaweza kuongea Kiingereza hicho?
Ze ze ze zile za Magufuli sijui Air ama Ni flight hostages ....Yani Dr.Magufuli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
aiseee hongera zakee huyoo tichaaa...sasa hivi nchi tamuu, hata wachina wababadili uraia nao wapate medaliiπŸ˜€πŸ˜Ž
 
Mwalimu wa sayansi kutoka maeneo ya vijijini Kenya ambaye alikua anatoa mshahara wake zaidi Ili Kusaidia wanafunzi masikini amepata Taji la ualimu bora ulimwenguni na amepewa Tuzo ya Dola Milioni 1.


Walimu wa bongo tuendelee kuendesha bodaboda na kulalamika kuwa mishahara ni midogo. Tutalalamika mpaka dunia inafika mwisho na mishahara haitakuja tosha.
 
Mwalimu kauaga umasikini.
Hapo anaenda kuchekea chooni
 

Habari ya tokea mwaka 2019 hii...!
 
Dah.. hapo ataanzisha shule ya maana kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…