Huyo Mtanzania lazima atakuwa na damu ya Kikenya. Naona ako vizuri sana. Ameshinda mashindano kadhaa ya road race. Hata ana page kwa WikipediaWhat's has caught my eye is that there is a Tanzanian in that medal standings. Position 10 not withstanding. Magufuli should declare a national holiday 😅😅😅😅
Damu ya Kikenya ni ipi? Huyo atakuwa ni Muiraqw ambao kiasili ni Cushites.Huyo Mtanzania lazima atakuwa na damu ya Kikenya. Naona ako vizuri sana. Ameshinda mashindano kadhaa ya road race. Hata ana page kwa Wikipedia
Kuna jamii tatu ambazo kiasili ni Cushites. Wengi wao kwa sasa wamechanganyikana na Bantu na Nilotes ingawa kuna kadhaa bado ni Cushitic kwa kiasi kikubwa.Kwani Tanzania mna cushites?
Iraqw (Wambulu), Nyaturu na Warangi. Ni jamii zinazopatikana baadhi ya sehemu za Manyara, Singida na Dodoma.Ni jamii gani hizo?
Number 4 hapo ni mkamba ...punguza propagandaDamu ya Kikenya ni ipi? Huyo atakuwa ni Muiraqw ambao kiasili ni Cushites.
Wanaoshinda kutokea Kenya ni Wakalenjin (Nilotes).
Mbio ndefu ni vita ya Cushites na Nilotes.
Asante kwa kaarifa. Sikuwa nafahamu kuwa nyie pia mna cushites. Halafu naona wewe ni mtu anayependa kusoma na kufanya research.Iraqw (Wambulu), Nyaturu na Warangi. Ni jamii zinazopatikana baadhi ya sehemu za Manyara, Singida na Dodoma.
Katika jamii hizo Wairaqw ndiyo pekee ambao hadi leo lugha wanayoongea ni Cushitic, hizo jamii nyingine mbili lugha zao zimekuwa Bantu kwa kiasi kikubwa.
Napenda kujifunza vitu mbalimbali ili kuongeza maarifa.Asante kwa kaarifa. Sikuwa nafahamu kuwa nyie pia mna cushites. Halafu naona wewe ni mtu anayependa kusoma na kufanya research.
Majina ya Kitanzania ni yapi? Hata Rais wa Tanzania anaitwa John jina lenye asili ya Kigiriki.Huyo wa 10 nahisi sio Mtanzania angalia jina lake,,labda tumemnunua kutoka huko Ulaya
I disagree... Pia kuna Bantus ....Kikuyus and Kisiis, Kambas who thrive in long distance running. Do about more research on the likes of Catherine Ndereba, Samwel Wanjiru, Makau, Hellen obiri etcDamu ya Kikenya ni ipi? Huyo atakuwa ni Muiraqw ambao kiasili ni Cushites.
Wanaoshinda kutokea Kenya ni Wakalenjin (Nilotes).
Mbio ndefu ni vita ya Cushites na Nilotes.
I know them, but majority of long distance runners are Cushites and Nilotes. It seems like those people with their thin legs have some kind of special 'genes for endurance' .I disagree... Pia kuna Bantus ....Kikuyus and Kisiis, Kambas who thrive in long distance running. Do about more research on the likes of Catherine Ndereba, Samwel Wanjiru, Makau, Hellen obiri etc
Hukusoma hata historia kidogo kujua wakazi hasa hasa Manyara wana asili ya wapi!?Huyo wa 10 nahisi sio Mtanzania angalia jina lake,,labda tumemnunua kutoka huko Ulaya