Mkenya Kandie avunja rekodi ya dunia kwenye mbio za half marathon

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431

Wanariadha wanne wamemaliza chini ya muda wa dakika hamsini na nane. This was the fastest half-marathon in history.

Kwenye wanariadha waliomaliza top ten, kuna Wakenya wasita. Halafu kilichonishangaza ni kuwa mwanariadha aliyemaliza wa kumi ni Mtanzania anayeitwa Gabriel Geay. Naona wabongo mumewacha kuwa Malazy.

Hongera sana kwa Mkenya Kibiwott Kandie kwa kuvunja rekodi ya dunia.

Screenshot_20201206-111459.jpg
 
What's has caught my eye is that there is a Tanzanian in that medal standings. Position 10 not withstanding. Magufuli should declare a national holiday 😅😅😅😅
 
Huyo Mtanzania lazima atakuwa na damu ya Kikenya. Naona ako vizuri sana. Ameshinda mashindano kadhaa ya road race. Hata ana page kwa Wikipedia

Damu ya Kikenya ni ipi? Huyo atakuwa ni Muiraqw ambao kiasili ni Cushites.
Wanaoshinda kutokea Kenya ni Wakalenjin (Nilotes).
Mbio ndefu ni vita ya Cushites na Nilotes.
 
Kwani Tanzania mna cushites?
 
Kwani Tanzania mna cushites?
Kuna jamii tatu ambazo kiasili ni Cushites. Wengi wao kwa sasa wamechanganyikana na Bantu na Nilotes ingawa kuna kadhaa bado ni Cushitic kwa kiasi kikubwa.
 
Ni jamii gani hizo?
 
Ni jamii gani hizo?
Iraqw (Wambulu), Nyaturu na Warangi. Ni jamii zinazopatikana baadhi ya sehemu za Manyara, Singida na Dodoma.
Katika jamii hizo Wairaqw ndiyo pekee ambao hadi leo lugha wanayoongea ni Cushitic, hizo jamii nyingine mbili lugha zao zimekuwa Bantu kwa kiasi kikubwa.
 
Damu ya Kikenya ni ipi? Huyo atakuwa ni Muiraqw ambao kiasili ni Cushites.
Wanaoshinda kutokea Kenya ni Wakalenjin (Nilotes).
Mbio ndefu ni vita ya Cushites na Nilotes.
Number 4 hapo ni mkamba ...punguza propaganda
 
Mwe!!! Hehehehe!! Utadhani alikua anapaa angani....
 
Iraqw (Wambulu), Nyaturu na Warangi. Ni jamii zinazopatikana baadhi ya sehemu za Manyara, Singida na Dodoma.
Katika jamii hizo Wairaqw ndiyo pekee ambao hadi leo lugha wanayoongea ni Cushitic, hizo jamii nyingine mbili lugha zao zimekuwa Bantu kwa kiasi kikubwa.
Asante kwa kaarifa. Sikuwa nafahamu kuwa nyie pia mna cushites. Halafu naona wewe ni mtu anayependa kusoma na kufanya research.
 
Huyo wa 10 nahisi sio Mtanzania angalia jina lake,,labda tumemnunua kutoka huko Ulaya
 
Napenda kujifunza vitu mbalimbali ili kuongeza maarifa.
Kila nikiona kitu kipya nakuwa na hamu ya kukijua kwa undani.
 
Huyo wa 10 nahisi sio Mtanzania angalia jina lake,,labda tumemnunua kutoka huko Ulaya
Majina ya Kitanzania ni yapi? Hata Rais wa Tanzania anaitwa John jina lenye asili ya Kigiriki.
 
Damu ya Kikenya ni ipi? Huyo atakuwa ni Muiraqw ambao kiasili ni Cushites.
Wanaoshinda kutokea Kenya ni Wakalenjin (Nilotes).
Mbio ndefu ni vita ya Cushites na Nilotes.
I disagree... Pia kuna Bantus ....Kikuyus and Kisiis, Kambas who thrive in long distance running. Do about more research on the likes of Catherine Ndereba, Samwel Wanjiru, Makau, Hellen obiri etc
 
I know them, but majority of long distance runners are Cushites and Nilotes. It seems like those people with their thin legs have some kind of special 'genes for endurance' .
 
Back
Top Bottom