Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wanariadha wanne wamemaliza chini ya muda wa dakika hamsini na nane. This was the fastest half-marathon in history.
Kwenye wanariadha waliomaliza top ten, kuna Wakenya wasita. Halafu kilichonishangaza ni kuwa mwanariadha aliyemaliza wa kumi ni Mtanzania anayeitwa Gabriel Geay. Naona wabongo mumewacha kuwa Malazy.
Hongera sana kwa Mkenya Kibiwott Kandie kwa kuvunja rekodi ya dunia.