Young Gwala
Member
- Mar 21, 2017
- 25
- 9
nambie msanii gan wa kenya wa nyimbo za injili anayefanya vizuriMziki wa kidunia na ushirikina bongo wako mbele. Lakini bila Kenya hakuna mziki tz. Mziki wa injili Kenya inapiku Tanzania .
Labda alikuwa ametoka pale Liddos kwa mastripper. [emoji1] Nikikumbuka nilivomwaga hela zangu nyingi nikiishi Parklands, 1st Avenue mwisho kabisa ukielekea Diamond Plaza huwa naanza kucheka tu.wanamziki wa kibongo wanakuja kuponda mali na kuishi Kenya. Jana usiku nimempata matonya kwa roadblock ya polisi pale parklands akiwa ametiwa mbaroni kwa kosa la kuendesha gari akiwa mlevi.
Liddos ya parklands ilishafungwa zamani, hapo sasa ni high rise building wanataka ku jenga.Labda alikuwa ametoka pale Liddos kwa mastripper. [emoji1] Nikikumbuka nilivomwaga hela zangu nyingi nikiishi Parklands, 1st Avenue mwisho kabisa ukielekea Diamond Plaza huwa naanza kucheka tu.
Bora waliifunga hiyo Sodom. Nilikuwa Parki ikifunguliwa 09/10. Madem wa kipanthree walikuwa wanajiachilia ile mbaya! Alafu tulikuwa tumezoeana sana na OCS mswahili wa Parki Police across the road. Hahaa! [emoji1]Liddos ya parklands ilishafungwa zamani, hapo sasa ni high rise building wanataka ku jenga.
Kwa. Muziki kenya ni kama kibanda cha zamani wakati bongo ni Mall mpya,labda kwa historia ya recording companies kenya kweli ilikuwa mbele zamani,wakati huo wakina Mbaraka mwinshehe wanakuja kurekodi nairobi, ila kwa sasa Tz ina muziki mazee,na inajitahidi kubuni style mpya kila siku wakati wakenya wameganda kwenye ile genre ya American hood na downtown beats! Hivi kenya kuna singeli?Mziki wa kidunia na ushirikina bongo wako mbele. Lakini bila Kenya hakuna mziki tz. Mziki wa injili Kenya inapiku Tanzania .
Hawa wanadhani Rose mhando ni mkenya kwa kuwa amekuwa akilala na kuamkia huko,wakati huku keshachuja zamani.nambie msanii gan wa kenya wa nyimbo za injili anayefanya vizuri
70% ya video za nyimbo za kibongo huwa zinarecord-iwa Nairobi. Hii ni kwasababu kuwa miundombinu ya kisasa ya kurecordi inapatikana hapa Nairobi.Kwa. Muziki kenya ni kama kibanda cha zamani wakati bongo ni Mall mpya,labda kwa historia ya recording companies kenya kweli ilikuwa mbele zamani,wakati huo wakina Mbaraka mwinshehe wanakuja kurekodi nairobi, ila kwa sasa Tz ina muziki mazee,na inajitahidi kubuni style mpya kila siku wakati wakenya wameganda kwenye ile genre ya American hood na downtown beats! Hivi kenya kuna singeli?
Mi nlijua otile ni mbongo, ila mi namkubali Khaligraph Jones, Sauti Sol, wengine hata siwafuatilii
Mi nlijua mbongo kabisa,Wakenya wanaiba mziki wetu wa BongoFlava taratibu,
Yani huyo anaimba Bongoflava pure kabisa. Kaiga kuanzia kiswahili hadi Mashairi.
Ukiskiliza unaweza ukafkiri Kama underground wa Bongo kumbe mkenya
Khaligraph ni level nyingine, huyo otile ni mbana pua tu mmojaUnazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
nambie msanii gan
wa kenya wa nyimbo za injili
anayefanya vizuri
Hawa wanadhani Rose mhando ni mkenya kwa kuwa amekuwa akilala na kuamkia huko,wakati huku keshachuja zamani.
Hawa wanadhani Rose mhando ni mkenya kwa kuwa amekuwa akilala na kuamkia huko,wakati huku keshachuja zamani.
Drugs hazimwachi mtu salama,mpelekeni sober house maana tulishawaachia.Speaking of rose muhando je ,alipata nafuu? Niliona picha yake mtandaoni .kajaa vidonda tele mwilini hadi watu wakauliza kama yuko sawa kweli. Yaani bongo kumejaa ushirikina mpaka mtu anaharibia mwingine kazi ya mziki. Huyu mwanamke amepitia mengi hadi akajuta kwa nini aliuacha uislamu akajihusisha na mambo ya kkristo