Mkenya pekee anayejua mziki

Mkenya pekee anayejua mziki

Imperialism at its best! Mzungu amehakikisha yaani sisi waafrika tutatofautishwa kwa hali ya chuki Baina ya mipaka hadi ubishi wa kijamii kama huu waebua maneno ya chuki na uhasama. Afrika Ni watu moja acheni kutenganishwa na globalist movement. Hii ni kwa ndugu Zangu wa Tz wanaoshtumu wenzao wa Kenya kwa kila wanalofanya.
 
wanamziki wa kibongo wanakuja kuponda mali na kuishi Kenya. Jana usiku nimempata matonya kwa roadblock ya polisi pale parklands akiwa ametiwa mbaroni kwa kosa la kuendesha gari akiwa mlevi.
 
Labda alikuwa ametoka pale Liddos kwa mastripper. [emoji1] Nikikumbuka nilivomwaga hela zangu nyingi nikiishi Parklands, 1st Avenue mwisho kabisa ukielekea Diamond Plaza huwa naanza kucheka tu.
 
Liddos ya parklands ilishafungwa zamani, hapo sasa ni high rise building wanataka ku jenga.
 
Bora waliifunga hiyo Sodom. Nilikuwa Parki ikifunguliwa 09/10. Madem wa kipanthree walikuwa wanajiachilia ile mbaya! Alafu tulikuwa tumezoeana sana na OCS mswahili wa Parki Police across the road. Hahaa! [emoji1]
 
Mziki wa kidunia na ushirikina bongo wako mbele. Lakini bila Kenya hakuna mziki tz. Mziki wa injili Kenya inapiku Tanzania .
Kwa. Muziki kenya ni kama kibanda cha zamani wakati bongo ni Mall mpya,labda kwa historia ya recording companies kenya kweli ilikuwa mbele zamani,wakati huo wakina Mbaraka mwinshehe wanakuja kurekodi nairobi, ila kwa sasa Tz ina muziki mazee,na inajitahidi kubuni style mpya kila siku wakati wakenya wameganda kwenye ile genre ya American hood na downtown beats! Hivi kenya kuna singeli?
 
Angekuwa Bongo angetafuta kick za kijinga au amroge demu wake kama anavyofanya Hamisa kwa Diamond ili atoke.
 
Kwa. Muziki kenya ni kama kibanda cha zamani wakati bongo ni Mall mpya,labda kwa historia ya recording companies kenya kweli ilikuwa mbele zamani,wakati huo wakina Mbaraka mwinshehe wanakuja kurekodi nairobi, ila kwa sasa Tz ina muziki mazee,na inajitahidi kubuni style mpya kila siku wakati wakenya wameganda kwenye ile genre ya American hood na downtown beats! Hivi kenya kuna singeli?
70% ya video za nyimbo za kibongo huwa zinarecord-iwa Nairobi. Hii ni kwasababu kuwa miundombinu ya kisasa ya kurecordi inapatikana hapa Nairobi.
 
Hawa wanadhani Rose mhando ni mkenya kwa kuwa amekuwa akilala na kuamkia huko,wakati huku keshachuja zamani.

Speaking of rose muhando je ,alipata nafuu? Niliona picha yake mtandaoni .kajaa vidonda tele mwilini hadi watu wakauliza kama yuko sawa kweli. Yaani bongo kumejaa ushirikina mpaka mtu anaharibia mwingine kazi ya mziki. Huyu mwanamke amepitia mengi hadi akajuta kwa nini aliuacha uislamu akajihusisha na mambo ya kkristo
 
Drugs hazimwachi mtu salama,mpelekeni sober house maana tulishawaachia.
 
Back
Top Bottom