Gezuz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 1,010
- 1,349
Ukiambiwa unaumwa gonjwa la akili utakataa? Unamlinganishaje Fid Q na huo uchafu.Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
.
.
Huyo ni level za kina songa,nikki mbishi,stereo na wengine hata hao sina hakika kama anawafikia kwa kila kitu.
Labda huko kwenu ila kwa TZ mzee atasubiri sana.