Mkenya pekee anayejua mziki

Mkenya pekee anayejua mziki

Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
Ukiambiwa unaumwa gonjwa la akili utakataa? Unamlinganishaje Fid Q na huo uchafu.
.
.
Huyo ni level za kina songa,nikki mbishi,stereo na wengine hata hao sina hakika kama anawafikia kwa kila kitu.
Labda huko kwenu ila kwa TZ mzee atasubiri sana.
 
Muhudumu by aslay 9.2M views.uploaded last year.
Chaguo LA moyo by otile Browncft sanaipei tande.uploaded this year.10M views.Numbers don't lie!!


 
Back
Top Bottom