ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.