ChalaX Nyato
Member
- Aug 24, 2024
- 92
- 167
Ukiona mwanamke anakupa hizo taarifa eti; ameombwa namba au ametongozwa na mtu flani, jua anatumia hiyo nafasi ili wewe uzidi kumuamini wakati huo yeye anachepuka na huyo jirani. Hiyo ni hatari, tena hapo yawezekana anatengeneza mazingira ya yeye kutembea na huyo jirani pasipo wewe kutilia mashaka ( kwa kuwa amesha kwambia kamktalia kumpa namba).
HAPO AMEJIVISHA NGOZI YA KONDOO WAKATI NDANI NI CHUI
Biblia imesema "wanawake tuishi nao kwa akili"
HAPO AMEJIVISHA NGOZI YA KONDOO WAKATI NDANI NI CHUI
Biblia imesema "wanawake tuishi nao kwa akili"